Masingeli banaa timu lako limemaliza phase 7 linaenda phase 8 mikono mitupu, kila msimu nyie mnakua wasindikizaji tu.
Timueni Tetea Kiwigi mchukueni kati ya Prisca Kishamba, Salum Mayanga au Juma Mgunda ndani ya misimu miwili tu mnabeba Epl.
Mchizi boti umepotea kinoma aisee kitambo sana mzee wangu .. misimu miwili sisi tutakuwa na kikosi bora dunia, kwanza kuna iyo kombe mpya imeanzishwa lazima tupite nayo sisi tunakula kombe itakayoanzishwa π€£π€£π€£π€£π€£

Nyie Chelkenge ndio hamna kasheshe kabisa.
Kuchukua kikombe chenu cha uji wa ulezi kelele kibao!
Natengeneza timu, ndani ya misimu miwili mbele, mutaongea kimasai.
Nakuhakikishia nitachukua ligi kuu kabla yako, huyo Arsenyonyo ndio kabisa anabidi atulie.
Timu haisukwi kama pakacha la kubebea papai.
Nipe misimu miwili alafu njoo tena hapa.
Kwa sasa endeleeni kutamba na vichupi vyenu, me nawaangalieni tu.