Katika timu zote zilizoingia robo fainali kwangu niliona Bayern ndio vibonde na niliombea kupangwa nao,Man United tumeshindwa wenyewe kuwatoa ingawa kwa uwezo wa kocha wetu tumejitahidi sana wengi walijua tutafungwa magoli mengi.Kama tungepangwa na timu nyingine huenda tungetolewa tangu game ya kwanza
Game ya kwanza Wellbeck alipata nafasi akaipoteza,jana Rooney kapata nafasi badala ya kumpa Kagawa akalazimisha kupiga,katika hatua kama hii zile nafasi sio za kuchezea kabisa.Jana timu ilicheza vizuri kipindi cha kwanza but uzembe wa Evra na Vidic tukafungwa magoli ya haraka,Rooney hakuwa fit na hakustahili kucheza jana.Positive ni viwango vya Smalling na Jones,hawa vijana watatusaidia sana tunahitaji left back na CB moja mzoefu wa kuwasaidia hao vijana
Still naaamini Moyes anahitaji kupewa msimu ujao tumpime vizuri.I hope Chelsea au Atletico mmojawapo atakuwa bingwa
Pole besti yangu BelindaJacob. Sijaona ukinimention kule kwangu kunipa hongera yangu!!!
Habari njema. Kroos ana kiu kuihama Bayern kiss ugali mdogo name ndiyo maana Woodward kabaki kukamilisha mkataba.
Habari njema. Kroos ana kiu kuihama Bayern kiss ugali mdogo name ndiyo maana Woodward kabaki kukamilisha mkataba.
kwa kweli kwa kiwango cha msimu huu kutolewa 1/4 final champions league sio mbaya,ila jinsi tulivyotolewa ndio issue.
bayern wameonyesha kuwa sio timu tishio kama wengi walivyodhani!kuna wapinzani walikuwa wanajua tutafungwa sijui 10 just because barcelona alifungwa 4+3!mpira hauko hivyo
kwa kweli jones na smalling wana potential...huyu smalling huwa nabishana na man utd wenzangu sana,wengi hawamkubali ila mimi namkubali sana akiwa CB ila akiwa RB ndio kidogo anapwaya kwa sababu hana skills za kupanda kama rafael au evra hivi
Moyes can do the job,vijana wameonyesha kuimarika kadri siku zinavyoenda,katika mechi zetu za ugenini leo ndio tumefungwa baada ya mechi kama saba hivi
tuko 7pts from CL 4th place tukikomaa tunaweza kuwa na last laugh,trust me hatumalizi wa saba sisi,tukikosa sana tunamaliza wa tano,naamini nafasi ya nne tunaweza kuipata 7 point gap sio kubwa kivile ukitilia maanai hao wa juu yetu wanaanza kujikwaa kila mechi.
hatuna game yoyote mpaka tarehe 20 tutakapovaana na everton ambao naamini tunaweza kuwafunga palepale kwao,Moyes awapeleke vijana Dubai wakapate sunshine wakirudi wako fresh kutafuta nafasi ya nne
angalia fixtures
everton:
sunderland[a]
palace[h]
man utd[h]
s'ton[a]
man city[h]
hull[a]
man utd
everton[a]
norwich[h]
sundeland[h]
hull[h]
s'ton[a]
arsenal
w ham[h]
hull[a]
n'castle[h]
wes brom[h]
norwich[a]
tottenham
wes brom[a]
fulham[h]
stoke[a]
w ham[a]
a.villa[h]]
GGMU
Heko kwa maelezo murua! Mimi nakubali kumpa muda DM, kwa mipango ya usajili inayozungumzwa katika klabu, hakika tutarudi the strongest.....watu wanamwona Maureen ni bonge la kocha, sikatai...lakini ebu apewe timu isiyo $$$$ na tuweze kuona hata kama top 10 ataingia!! Hivyo kwa uwezo wa DM, akapewa wachezaji wakali wa ziada kama wanne hivi, basi #ManUnited itarudi kwenye utawala wake na kuzidi kuwauzi akina Mbu kashengo Mentor Balantanda BAK (huyu sijui kapotelea wapi, dah!) Kigogo na #MburukengeOrijino wote......
Kasoro hapo kwenye bold, hao jamaa wakishinda UCL Maureen atachonga sana ngenga....ila nakubali Atletico anastahili kabisa...Simeone ni noma...hadi Uefalona kaloweshwa?! Shikamoo Mr. Diego Simeone.
NAOMBA NISAIDIENI HILI:
Manchester United hii aliyoikuta Moyes ni mbovu zaidi ya Everton aliyoiacha huyo Moyes...??
Take note that Man United hii ilibeba EPL kwa gap la point za kutosha tu...!!
Kama jibu la swali nililouliza ni HAPANA basi tatizo sio timu tatizo ni kocha..
Kama Martinez kaifanya Everton icheze mchezo mzuri hivi vipi angepewa Man United yenye Rooney..RVP...Kagawa..Chicharito..Januzaj...bado akaongezewa Mata just to mention few..leo tungekua tunastruggle hivi kweli...!! let's face the reality ndugu zangu...tatizo la Man United liko wazi sema tujisikilizia kufanya maamuzi magumu...
tatizo la man u ni kocha na siyo wachezaji! moyes ni kocha mwenye uwezo mdogo; kakaa everton miaka minane kafanya nini? moyes ni sawa na new general manager anaye ajiriwa kuongoza kiwanda chenye mafanikio na products zinazofanya vizuri kwenye soko lakini baada ya kukabidiwa kiwanda mauzo ya products hizo yakaanza kushuka kwa kasi! moyes is incapable hata kama utampa pesa kiasi gani hataweza kufanya chochote! kwani sasa hivi everton imeongezewa pesa ya usajili?
hhaha mkuu naona matokeo ya man u kufungwa na bayern yamekufurahisha sana sio kesi mwisho wa msimu huu ndo mwanzo wa msimu mwingine....hongereni na poleni watani,
It's only a game...mmepigana na kufa kiume....lile goli la Evra dahh...
Anyway, there's always next time,
Pole za dhati ziwafikie Belinda jacob Nzi, Belo, mfarisayo, Mndengereko, Manda.... Opppsss ?! Hivi Manda , Mahesabu waliishia wapi?!
Sijawasikia longtime!
#TeamMburukengeUnited na David moyes, you'll always come back stronger nxt season!
#BigUp ! 
#MosKwito !
cha msingi tusifanye makosa kama ya wenger anyoendelea kuyafanya arsenal tumenajua makosa yetu basi tusajili sehemu zrnye udhaifu turekebishe makosa yetu thats it.thats what pains me....schoolboy errors!!!
Tumekuzoea kulialia ni kawaida yako
NAOMBA NISAIDIENI HILI:
Manchester United hii aliyoikuta Moyes ni mbovu zaidi ya Everton aliyoiacha huyo Moyes...??
Take note that Man United hii ilibeba EPL kwa gap la point za kutosha tu...!!
Kama jibu la swali nililouliza ni HAPANA basi tatizo sio timu tatizo ni kocha..
Kama Martinez kaifanya Everton icheze mchezo mzuri hivi vipi angepewa Man United yenye Rooney..RVP...Kagawa..Chicharito..Januzaj...bado akaongezewa Mata just to mention few..leo tungekua tunastruggle hivi kweli...!! let's face the reality ndugu zangu...tatizo la Man United liko wazi sema tujisikilizia kufanya maamuzi magumu...
kuna article moja nilikuwa naisoma goal.com mwandishi wa ile makala alisema kama man u wataona ushindi walioupata dhidi ya newcastle na aston vila na dispaly ya man u dhidi ya bayern na kitu alichokiita brave elimination ni mafanikio kwa man u na kuruhusiwa david moyyes kupewa hizo millions of monye kusajili wachezaji kwa ajili ya msimu unaokuja basi kuna kitu hakipo swa man u (something is wrong with man u)
NAOMBA NISAIDIENI HILI:
Manchester United hii aliyoikuta Moyes ni mbovu zaidi ya Everton aliyoiacha huyo Moyes...??
Take note that Man United hii ilibeba EPL kwa gap la point za kutosha tu...!!
Kama jibu la swali nililouliza ni HAPANA basi tatizo sio timu tatizo ni kocha..
Kama Martinez kaifanya Everton icheze mchezo mzuri hivi vipi angepewa Man United yenye Rooney..RVP...Kagawa..Chicharito..Januzaj...bado akaongezewa Mata just to mention few..leo tungekua tunastruggle hivi kweli...!! let's face the reality ndugu zangu...tatizo la Man United liko wazi sema tujisikilizia kufanya maamuzi magumu...
Yaani DM kaigeuza ManU kuwa Everton ile aliyokuwa anai-coach aisee....wala hiyo haina longolongo....jamaa hafai kuwa kocha wa ManU......katuharibia ushindani kwenye EPL......
Hilo la United kuchukua ubingwa last season kwa gap kubwa limeshaongelewa na kutolewa maelezo sana humu...
Pia huwezi kufananisha hali ya United na timu yoyote yenye kocha mpya, for Christ sake. United ilikuwa chini ya SAF kwa miaka takribani 27! Unaelewa maana ya timu kuwa chini ya kocha mmoja kwa miaka 27?!? Ina maana philosophy ya timu ilikuwa shaped na huyo mtu! Anapoingia mtu mwingine, siyo kazi rahisi ati!
Mimi naona DM kajitahidi sana: msimu wake wa kwanza, kaipeleka timu 1/4 ya UCL! Kuna makocha wamehaha misimu kibao kujaribu kufika hatua hiyo, lakini hola!! Fainali ya Capital One Cup; na kushinda Community Shield. It is a good start; let's see what he can offer in his second season. With new players, he can't have any excuses!
Hilo la Martinez kuwa bora leo, ni ajabu! Huyu si ndiye kocha aliyeishusha daraja Wigan ama? Leo anakuwa bora? Martinez ashukuru aliachiwa timu nzuri na DM! DM kaachiwa ageing squad, with midfield problems na SAF.
Mwaka jana uliona Rogers alivyochemsha na timu, almanusura kufukuzwa? Angalia sasa hivi anapigania ubingwa!! Rogers hajawahi kushinda ubingwa wowote! Lakini leo anaonekana ni kocha bora EPL!!
Mimi bado naamini katika kumpa msimu ujao tena DM...huku akileta wachezaji wapya kadhaa. Kisha hapo ndipo nitakapoanza kumshambulia akivurunda.
Wewe na mimi tutabaki kulaumu, ila waamuzi wa mwisho ni bodi ya United. Kama bado wana imani na DM, utapoteza nguvu zako bure.
Tumpe msimu ujao, kisha tumjudge kwa kitakachotokea.
Something is very wrong with Man U brother..kuanzia bench la ufundi mpaka siye mashabaki...
Haiwezekani leo tukawafunga West Ham na Newcastle afu tukasema ni turning point ya kwenda kuchukua ushindi mbele ya Bayern..this is a big joke brother..hata mimi huwa najiuliza haya matumaini niliyatoa wapi kabla ya mechi ya bayern wakati mpira ni mchezo wa wazi mwenye timu nzuri anashinda..bahati/ mpira kudunda 1 out of 100
Leo Man u iko tayari kugamble kwa Moyes tena..he had all the time of pre season kuwastudy wachezaji wa Man U inamaana hakuona mapungufu ya timu..aya league ikaanza dirisha dogo likafunguliwa kwahiyo Moyes aliona mapungufu ya man u ni kidogo sana kiasi ya kwamba anamuitaji Mata tu kuyatatua...!! Leo hii hajui hata kumtumia Mata..nachokiona kwa Moyes ni kama amelose confidence plus skills za kuiendesha Man u..na hajui anatakiwa afanye nini ili timu icheze Manchester's way..
Sasa je tuko tayari kugamble na kumruhusu aifumue timu yote...
Ntuzu, Mndengereko, Mr Rocky, Arushaone poleni sana hao ndio bayer, tumeshindwa sisi mtaweza nyinyi? Na mwakani mtaangalia kwenye tv tu ligi hiyo hahahhahahah