Manchester United (Red Devils) | Special Thread

KENGE mlienda Chelsea mkamkuta Enzo, Jackson, Palmer, Neto mkaondoka na STERLING..
Sasa wewe punda kenge wangekubali kutoa hao uliotaja kwa mkopo kama walivyomtoa Sterling?
 
Kwa
Shabiki wa united na knowledge ya mpira ni maji na mafuta
Kwa hiyo huyo unamlinganisha na Mchele...😆😆😆😆😆😆😆 sijui inakuwaje kwenye ushabiki watu wanaondoa akili zao za kawaida na kuwaza kwa kutumia .. .. ..
 
Kwa

Kwa hiyo huyo unamlinganisha na Mchele...😆😆😆😆😆😆😆 sijui inakuwaje kwenye ushabiki watu wanaondoa akili zao za kawaida na kuwaza kwa kutumia .. .. ..
Ngumu kumlinganisha Panya na Mchele. Wana roles tofauti.

But as I said, shabiki wa nyumbu na knowledge ya mpira ni maji na mafuta
 
Arsenyau unapata wapi nguvu za kuwasikitikia mabingwa wa Europa 2024/2025?
Kwanza ni aibu kubishana na shabiki wa timu ya mpira haijawahi kushinda kombe lolote la Ulaya. Nawashauri mashabiki wa arse8 mhamie LEEDS angalao wao walishashinda Ulaya.
 
Kina Labyrinth 84 wanasaka top 5 ili wacheze UCL msimu ujao halafu nyie mnawaachia nafasi kubwa vile? Watawapiga nyingi msipochunga.
 
Always nawaambia tatizo kubwa la hii timu ni wachezaji, hii timu Inahitaji wachezaji wa kazi kweli. Ona hizi goals zote ni makosa ya wachezaji wenyewe, tena Newcastle Wala hawatumii nguvu kabisa. Hii timu kama ikiwa na mentality ya Kuwa kocha ni tatizo basi wana safari ndefu sana ya kwenda, weka watu makini waingie mzigoni wakuletee watu wa maana, then kazi kwisha mhukumu kocha. Wewe unaleta viazi unataka ladha ya baga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…