Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nikajua nyumbu watagoma kuingiza timu uwanjani kama SIMBA
Anyway acha ale chuma tatu kiafya
 
Arsenal asiporudisha goli 8-2 za enzi hizo siku ya leo, haji kurudisha tena.
 
Hata ile MUFC ya akina Fellain haikuwa na kutokujiamini huku kwa MUFC hii ya sasa.
 
Okay okay one test mic, kasongo kwenye one and two. Tupigie huyo arsenyani tupunguze idadi ya game za kutangaza ubingwa wetu sie yakheee
 
Hizi nafasi za wazi tunazozipoteza tutakuja kuzijutia baada ya dakika 90 kumalizika.
Mazraoi na Zirkzee wamekosa magoli ya wazi mno, yaani mpaka dakika hii ubao ulikua unatakiwa usome Man Utd 3-0 Arsenyo.
 
Hojlund mpuuzi sana
IMG_5436.jpeg
 
Back
Top Bottom