arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Ila ukiangalia mechi zilizobaki za Hawa jamaa tunaweza mwsho wa msimu tukaja kuongea mengine hapa....masiharahara mtu mzima anaenda kuungana na Cardiff City kule Championship 🤠🤠🤠Nyie wahuni mnajitahidi kushuka daraja msimu huu na kutupotezea timu ya kutupa Gunners uhakika wa points kila msimu. Shida yenu ni kwamba kuna akina Southampton, Ipswich, Leicester, Wolves na hata West Ham ambao wanajuhudi zaidi yenu katika kusaka kushuka daraja.
Hivyo basi, muelewe kwamba msimu ujao bado tutakuwa pamoja na tutaendelea kuwatembezea vichapo mpaka majukwaa yetu myaone kama makaa ya moto huku sisi tukiendelea kuishi huku kwenu kama tuko sebuleni kwetu.