[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna wahuni huko wamebeba furushi la viboko wanamsubiri kwa hamu.
Sema Masingeli lina akili mingi sana, yaani liliweza kujimilikisha lile jukwaa utadhani vile ni mali ya babake, Arsenyani zote zile akazigeuza ni misukule yake, kila anachoongea yenyewe inaitikia tu tawileeee.
Ilifikia kipindi Masingeli alipiga marufuku hata watu wasimquote, akawaamisha Arsenyo kua msimu ulioisha watabeba Epl na Uefa na yoyote anaebisha hana akili.
Alikuja kuwamaliza kabisa na ile trick yake ya Super Computer, misukule yote ikamuona Masingeli kama vile Musa amekuja kuwapeleka nchi ya ahadi.
Usije ukakuta Masingeli ana DNA ya Mwamposa halafu hata yeye mwenyewe hajui.
View attachment 3245231