Laana ya kumnyima timu Mwarabu na kumpa yule babu wa Kihindi haitatuacha salama.
Ukute Sheikh Jassim bin Hamad bin Khalifa Al Thani baada ya kunyimwa team aliwaita mashehe wenzake watusomee Al Baridi. View attachment 3223401
Umepambania sana hili swalaImeniuma mpaka leo yule muarabu kunyimwa hii timu
Mpaka mumuombe msamaha Ten HagMechi yake ya kwanza kawa nyota wa mchezo.
Hapa ndo naamini hata Ten Hag akipewa Dortmund anaweza kuchukua UEFA.
Nyinyi hamuioni shida ya timu ?unajiuliza shida ya timu yetu ni nini unakosa majibu
Mtasema wachezaji ila ndo hawa hawa wakitoka man u wanaperfom vizuri tuu
Antoninho, MOTM performance vs Athletic clubPositive thing kutokana na mkopo wake ni hivi, Mbappe, Vini, Yamal na wengine wote wapate kujifunza ball kwa Antoninho also known as Masebene
View attachment 3214628
Kuna shida kubwa sana pale unyumbuni ila naona ni mapema sana kusema amorini ni tapeli. Tumpe mudaAmorini ni kocha tapeli
Mechi 14 points 13
Huyu ni tapeli
Bora ETH
Kocha amekazania mfumo mmoja huo huo,huyu ni wale wanafunzi wanaokariri wakibadilishiwa kidogo tu mtihani wanafeliKuna shida kubwa sana pale unyumbuni ila naona ni mapema sana kusema amorini ni tapeli. Tumpe muda