Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,527
- 81,250
Kima kabisa hizi. Piga chuma cha tatu
London leo imekiwasha. Spurs ✅️ Palace ✅️Acha tu wajanja wa London tujipigie hawa vijana barobaro wa bwanyenye Sir Jim
Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro kimeshuka.
My prediction
Manchester united 3 vs crystal palace 1
Watapigwa sana wale View attachment 3222343
Sisi tunastahili kuwapiga wale mafisadi ila nyota yetu si unaijua bro? Lazima tudhulumiwe tu.London leo imekiwasha. Spurs ✅️ Palace ✅️
Bado sasa nyie kenge wengine Assnyeto sijui kama mtaweza kufanya kama wadogo zenu hao.
Hahaha liver mnabahatisha unaona jana Bournemouth ilivyowapelekesha?Kima kabisa hizi. Piga chuma cha tatu
Oya mkaldayo Mimi niko na notineham forestLondon leo imekiwasha. Spurs ✅️ Palace ✅️
Bado sasa nyie kenge wengine Assnyeto sijui kama mtaweza kufanya kama wadogo zenu hao.
Mkaldayooo wewe ni umbwaaa. Liverpool ndio bingwaHahaha liver mnabahatisha unaona jana Bournemouth ilivyowapelekesha?
Hao hamna kitu. Hawana pumzi ya kushindana na baba lao LiverpoolOya mkaldayo Mimi niko na notineham forest
Oyaa kumbuka hao mbusii sisini.Hao hamna kitu. Hawana pumzi ya kushindana na baba lao Liverpool
Waambie city maana washakula chuma nne mpaka sasaTafuteni kipa wa kueleweka kenge nyie