Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

0-3 FT man u win
IMG_20250130_222847_839.jpg
 
Kwaheli papa rashford kiboko ya Wenger orphans.

kamwe siwezi kukusaau kwa goal zako mbili dhidi ya arsenal ukiwa bado kijana mdogo tu anae valia jezi 39 mgongoni.

Ulichotupa hatutakisaau kwa udambwi udambwi wako pale mbele.
Screenshot_20250202-111005.png
 
Sijui makubaliano yao kimkataba yakoje ila namuonea huruma Amorin na huu uongozi mpya wa United. Tunauza ila kusajili ni under age ambao sioni wakiingia kwenye kikosi cha kwanza hivi karibuni.

Any way, sasa moyo wangu una amani baada ya Rashford kuondoka pale matofalini.
Tujenge timu sasa.
 
Back
Top Bottom