Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,071
- 20,331
Ndio maana wanaitwa manyumbu, watu wasiojua mpira ndio watA shangilia yale magoli. Kwa yale magoli waliofunga hawana timu na hakuna improvements zote zote pale.Sielewi mnachoshangilia ni nini 😅😅
Magoli yote yamefungwa kwa miscalculations za kipa wa spurs hakuna goli lililotokana na move wala created chances. Halafu mtu anakwambia sasa hivi tuko vizuri 😅😅
Subirini disappointments punda kabisa