Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,218
- 76,714
Tulia hapa hapa ngiri pori mr KasongoBRUNO leo ni utopolo mtupu..atolewe mapema.
Tulia hapa hapa ngiri pori mr KasongoBRUNO leo ni utopolo mtupu..atolewe mapema.
Hilo Boli gani labda bolibo mshalambwa chuma 3 😂 ...kamubaki labda kwenye dream leagueLeo kidogo naona boli linatembea,second half tunaenda kupiga come back nyingine tena..Dialo na Garna watahusika katika magoli yatakayopatikana