Ndio maana wanaitwa manyumbu, watu wasiojua mpira ndio watA shangilia yale magoli. Kwa yale magoli waliofunga hawana timu na hakuna improvements zote zote pale.Sielewi mnachoshangilia ni nini 😅😅
Magoli yote yamefungwa kwa miscalculations za kipa wa spurs hakuna goli lililotokana na move wala created chances. Halafu mtu anakwambia sasa hivi tuko vizuri 😅😅
Subirini disappointments punda kabisa
tuanze na nunezTafuteni makipa wa kueleweka, Onana mumuuze, ganacho na rashfod, dalot, wote hao muwauze na Antony piga bei. Yule Amad Dialo hakuna mchezaji mule anapita na upepo tu na ni swala la muda mtakuja kushituka
Kuna banda umiza moja huku mashabiki wa nyumbu wanamuita messi mweusi dah ...messi mwenyewe akisikia sijui atajisikiaje🤣Tafuteni makipa wa kueleweka, Onana mumuuze, ganacho na rashfod, dalot, wote hao muwauze na Antony piga bei. Yule Amad Dialo hakuna mchezaji mule anapita na upepo tu na ni swala la muda mtakuja kushituka
Huyu kocha msenge sana..huyu ZIRKZE wa nini?Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
Manchester United 3 vs Bournemouth 1
Tutapiga kama ngoma leo View attachment 3182595