Manchester United (Red Devils) | Special Thread

haka nako pia ni kamdomooo
 
Kijukuu cha vasco da gama kimesema nawajua wachezaji wangu ipo siku itatokea dhahama🤣🤣🤣🤣

Anwshakaa nao mazoezini anajua timu imeoza
 
Watoto wa bwenyenye Sir Jim hawa hapa kutandika hawa msitu.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction
Manchester United 3 vs msitu 1

Tutapiga kama ngoma.
 
Mlishaambiwa hakunaga muhindi akawa kocha wa football!! mkakaza fuvu!
Haya sasa ona jinsi mnavyodhalilishwa tena mpo nyumbani,mbele ya wake zenu....
 
AMAD inatakiwa acheze Barcelona sio hapa. Pale anamuweka bench hata Lamine Yamal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…