Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona watani mmepata mteremko leo?

Au ndio form yenu inapanda?!
 
I wish we could have won games vs. Fulham (H), Cardiff (A) and Soton (H). We could be in the top 4 now...
 
Mi sijui hawa vijana walikuwa wapi siku zote wangefanya hivi hakika leo tungekuwa nafasi ya 2 au 3
 
Pamoja na kuwa na msimu mbaya sana...lakini timu inavyocheza na kushinda kama leo, napata raha sana...

Mata, Shinji na Januzaj ni balaa hawa watu...hawa ndio wanapaswa kufanywa tegemezi la timu kwa miaka ijayo...
 
Timu ilikosa kujiamini tu,sasa wameanza kurudisha ile imani kuwa wanaweza

Kabisa...ila Mata na Shinji wakicheza pamoja, lazima wakupe raha aisee...

Nausubiria kwa hamu sana msimu ujao..wakiongezeka wachezaji watatu, wanne hivi...heshima itarudi mtaani..
 
Mi naona hii mechi ilikuwa nyepesi sana hawa newcastle hawakuwa wapinzani sana mchezo likuwa soft sana, na ndio maana hata kadi imetoka moja tu dakika zote tisini. Newcastle hawakutukamia.
mi sijui hawa vijana walikuwa wapi siku zote wangefanya hivi hakika leo tungekuwa nafasi ya 2 au 3
 
Back
Top Bottom