Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jones ni mzuri sana atatusaidia sana. lakini katikati hapo kuna shida sijui felaini leo yuko wapi.
Goma zito hili arifu...

Ila ni ukweli usiopingika kwamba watu walijua hii tie ingeisha game ya kwanza...lakini wapi...
 
Hawa jamaa ni kama wamepaniki...inabidi tuwadungue kimoja kabla hawajatulia..
 
Jones ni mzuri sana atatusaidia sana. lakini katikati hapo kuna shida sijui felaini leo yuko wapi.

Fletcher yupo poa sana...yeye anaweza kupeleka mipira mbele kuliko Fellaini...kitu ambacho kinahitajika leo...
 
Ila sijapenda Evra kuanza badala ya Buttner...babu Robben atamsumbua sana...
 
Inabidi Januzaj aingie ili kuongea usumbufu kwa mabeki...Welbeck anawasumbua sana...tukipata mkata upepo mwingine itakuwa poa sana...
 
hapo sawa.moyes huwa hajui sub za haraka haraka.
Inabidi Januzaj aingie ili kuongea usumbufu kwa mabeki...Welbeck anawasumbua sana...tukipata mkata upepo mwingine itakuwa poa sana...
 
Vida given a yellow...27th min...stupid referee's decision..
 
Back
Top Bottom