lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,133
Sijajua kwa nini hii mikocha ya Man U inakuwa na kiburi kiasi hiki. Ubora wa Hujlund hasa mechi ya mwisho ni wa kumuanzishia benchi? Jinga kabisa nalo hili najua limekuja na litaondoka kabla ya Mwaka mpya..
Labda bado anajaribu kikosi ila hata Ugarte hakuwa wa kukaa bench leo