Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,294
Mara ya mwisho Man Utd kushinda 4-0 kocha alikuwa Ole Gunnar Solskjaerš¤£
šSancho kafunga?
Kuna wachenzi walitaka kuvuta hela kwa Amad..
Wachenzi kabisa.
MOT kwa upande wangu
Ten hag alikua muoga sana.Omar forson alikuwa mbele ya Amad.
Kipara alikuwa na matatizo.
Kuna uoga na ujinga, forson hakuwa na kipaji kumzidi amadTen hag alikua muoga sana.
mkuu acheni kumchafua mzee kipara kiasi icho tulimlaza the blues goal hapo OT mwaka janaMara ya mwisho Man Utd kushinda 4-0 kocha alikuwa Ole Gunnar Solskjaerš¤£
Mkuu respect kwa mzee kipara two trophy arteta kakaa hapo arsenal izo kombe ajabeba.Ten Hag maku kweli. Amad bonge la team player, mngese kama Garnacho akifika golini ni kujipigia tu hata kama kuna teammate yupo nafasi nzuri ya kufunga hatoi pasi.
Fvck you, Erik ten Hag.
Yule mbwa tu kmmakeh..akafie mbele na antony wake.Ten Hag maku kweli. Amad bonge la team player, mngese kama Garnacho akifika golini ni kujipigia tu hata kama kuna teammate yupo nafasi nzuri ya kufunga hatoi pasi.
Fvck you, Erik ten Hag.
Tutoe hata drooMkuu kumbuka sie Bado tunajenga timu huku tunatufa ushindi taratibu, lakini arsenal wao wametuzidi ubora.
4-0?mkuu acheni kumchafua mzee kipara kiasi icho tulimlaza the blues goal hapo OT mwaka jana
WhyLisandro Martinez and Kobbie Mainoo will be suspended for the game against Arsenal.
Hapa tutapigika timu ilimhitaji Martnez na Kobie .... Tutateseka SanaLisandro Martinez and Kobbie Mainoo will be suspended for the game against Arsenal.
š®š®š®Huyu Harmorapa hana muda mrefu ataanza kuikumbuka timu yake ya Sporting Clube de Portugal, hii Man Utd yetu ni kama roba la misumari kila ukijitahidi kulibeba vizuri na lenyewe ndio linazidi kukutoboa.
Ndani ya muda mfupi tu Ruud van Nistelrooy alikua ameshaanza kutengeneza chemistry ya timu na kila mechi tulikua tunapata matokeo ya kuridhisha, vile uongozi wa timu haupendi kuona mashabiki tukiwa na furaha ya kudumu badala ya kumpa Nistelrooy muda mpaka dirisha dogo, tumemtimua na kulazimisha kumleta Amorim ambae aliomba apewe muda mpaka mwisho wa msimu ndio aje Utd.