SIKIENI AKILI YA KOCHA RÜBEN AMORIM.
[emoji2788]" Kama tukijaribu kushinda michezo na kutohatarisha chochote kwenye muda huu , Nina uhakika mwaka ujao kwenye hatua kama hii tutakuwa na matatizo yaleyale "
" Inabidi tutengeneze wazo jipya na tujaribu kuwa bora "
Mwalimu anaongea kiakili sana lakini fujo za mitandao ambazo hazifiki hata Kenya zitasema United ni timu ya Ushindi .
Lakini Rüben hataki ushindi wa morali za Wachezaji, vipi siku morali zikiondoka na Kocha umezoea morali na sio mbinu , ndio yale yaliyowashindwa Ole na Eric.
Wote walitegemea fulani leo anaamkaje au timu inaamkaje . Lakini ukiishi kwenye mbinu basi hata mchezaji akileta makuzi ni mbao na mwingine anakaa .
Respect Rüben Amorim [emoji837]
Shirad21