Manchester United (Red Devils) | Special Thread

2.Manchester United ilihitaji kocha mwenye uwezo wa kujenga timu iliyokwisha kufa hawakuhitaji kocha anaetaka ubingwa na wachezaji wa gharama kubwa

Amorin ameikuta sporting ikiwa hoi na wanazaidi ya miaka 19 bila ubigwa wa ligi lkn kafanikiwa kuijenga na kuwa tishio
 
3.Kocha aliyekuwa anaisema vibaya Manchester United ni Lous Van Gal pia makocha wengine walikuwa wanaogopa muundo wa uongozi wa Manchester United ambao ulikuwa unawaza kukuza UCHUMI tu soka kwao sio kipaumbele
Ndio maana pamoja na Manchester kuwa vibaya uwanjani lkn still ilikuwa ni timu inayoingiza mapato zaidi
 
Ni ndoto ya mreno yoyote kufanya kazi Manchester United
Manchester wana project ya kujenga timu na nia ya dhati ya uongozi inaonekana Amorin ni mtu sahihi yeye mwenyewe anajijua kifupi
Mashabiki wa Manchester na uongozi wote wana imani nae na kubwa zaidi na yeye anajiamini

Bonus
Uongozi wa Manchester United ulitaka kocha anaeeleweka anacheza style gan kitu ambacho kipo wazi
 
Kilichomfelisha kipara ni kuachana na falsafa zake na kuanza kutaka mafanikio ya haraka hapo tu ndo alikosea.Akaanza kucheza papatu papatu ili ashinde makombe ya mbuzi.
Kupata playing style ni msimu mmoja tu inatosha sana hata kama hatuchukui kombe progress ionekane.
 
Kwa jinsi ligi ilivyo hata timu ya 15 inaweza ingia top four maana ni point 7 had 10 tu mtu anajikuta top 4, maisha yanaenda kasi sana timu zinakata pumzi wakati sisi man u ndio kwanza timu inaenda changamka kwa ujio wa kocha mpya sidhani kama INEOS watavumilia mchezaji atayekwamisha mipango ya kocha waliemleta wao. Man u tukae mkao wa kula sasa ni zamu ya Arsenal kupandisha pressure na kushusha bila kusahau kurusha matusi aina ya makombora ya ballistic kwa kocha wao. Kulia kupokezana bwana.
 
Timu ndogo zote zinajikaza. Nitashangaa mkibanduliwa kama wadogo wenzenu wamekomaa
 
Hayo makombe mawili jamaa atayaongelea sana.
Arteta msimu wa Saba huu tumpe heshima yake jamaa kwanza msimu wa kwanza alikuta timu liko hovyo mno.

Msimu wa pili alikumbwa na injuries za wachezaji wengi muhimu kwa msimu mzima.

Timu ambazo hazikuwa na ijuryies nyingi Liverpool, Arsenal na Tottenham ziliambulia hewa.
 
Mnamkosea sana heshima jamaa, mashabiki wengi wa United alipotaka kuchza mfumo wake mlilalamika maana timu ilifungwa game mbili za mwanzo.

Msimu uliopita nusu ya timu ilikuwa injury ni msimu huu pekee timu imekuwa na machaguo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…