Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kabisa mkuu....mechi na Aston villa wakimuhoji atakuambia ila lile goli la garnacho alilowafunga arsenal lilikuwa halali...haikuwa offside kabisa🤠🤠🤠
Kweli kabisa ni uhakika atasema hivyo maana haishi kutuwaza. Acha washinde hata 2-1( muhimu onana asipate clean sheet) tumsikie atasemaje kwa press na muhimu zaidi asifukuzwe kazi wakamleta mnyama kama Zidane
 
Kweli kabisa ni uhakika atasema hivyo maana haishi kutuwaza. Acha washinde hata 2-1( muhimu onana asipate clean sheet) tumsikie atasemaje kwa press na muhimu zaidi asifukuzwe kazi wakamleta mnyama kama Zidane
 
Rasmus akapost kushangilia draw 😅😅

Mashabiki wanamind kwanini haombi msamaha badala yake anashangilia
 
Wewe msimu uliisha huna chochote ungeendelea tu kufunga bakuli lako Castr
 
Wewe msimu uliisha huna chochote ungeendelea tu kufunga bakuli lako Castr
Misimu kadhaa nyuma Arsenal tulimaliza nafasi ya nane ila tukaenda Europa kwakua tulishinda FA cup. Mlimaliza nafasi ya pili.

Mashabiki wa Arsenal (Ulaya siyo JF) wakasema Arsenal tuna msimu mzuri kuliko united kwakua tumeshinda FA na united haina msimu mzuri kwavile haijapata kombe ingawa imemaliza nafasi ya 2.

Ile ikaleta mvutano, mna shabiki wenu anaitwa Trey, akatengeneza meme kwaajili ya hiyo scenario. 4, 5 seasons later cards have been reversed only this time Arsenal tumeuanza msimu na kombe dhidi ya City, a season defeating almost everyone, kisha unakuja united unayefungwa na timu kutoka Denmark unajisifu una msimu mzuri?

Too bad anayewaongoza kwenye hii delusion ni kocha wenu. Guy learned you don't know shit about football so anagongelea tu kwenye FA trophy 😅😅 and you are all nodding in agreement.
 
Baada ya ups and downs na Pogba jamaa akarudi Juve halafu akasema duniani mashabiki wasiojua mpira ni wa united. Akafungiwa kujihusisha na mpira kwa miaka 4.

Jana wamepunguza hadi miezi 18 na kuanzia January mwakani ataweza kutrain na Juve na March akaanza kucheza ligi.

Otea mashabiki wa timu gani wanamtaka Pogba kwenye timu yao? 🤣🤣😅🤣😅🤣😅

Wanakwambia huyu na Maino wakikaa pamoja pale kati hakuna anayekatiza. Hua sielewi hawa watu wanatumia nini kufikiri, kwanza Pogba siyo mkabaji pili jinsi alivyoondoka ila hawasikii hawaoni 😅🤣😅🤣

Huku kocha anasema amenunua wachezaji vijana wengi hivyo inabidi wazoeane. Huyu kanunua wachezaji wengi kuliko chelsea ???🤣
 
Hasira zako ni nini kwa hawa jamaa? Au ni zile 8-2?
 
Watoto wa bwenyenye Sir Jim wanashuka leo hawa hapa twende nalo💪

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction

Villa 1 Vs Manchester united 3

Watapigwa sana wale.

Nikisepa watapigwa mnaitikia

Sana waleeee😲
 
Kwa backline hiyo naona Watkins leo anaenda kupiga hat trick
 
Imebidi nije nimekumbuka vituko vyako

Leo mshinde nipo na nyie

ETH mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…