Manchester United (Red Devils) | Special Thread

😅😅hivi bado amja kubali kama nyumbu fc ime bakiza brand tu ila mengine yote ni underdog sawa na Ipswich
 
Nilipomuona mechi ya Barnsley nilitikisa kichwa, tusipokuwa makini tutaendelea kuteseka.

Ni bora usisajili kama liverpool kuliko kusajili mchezaji asiyekuwa sahihi.

PSG wameongeza 10 million ya thamani ya UGARTE, wamemsajili joao Nevez
 
Kwan kocha si ndio ana pendekeza watu gani wasajiliwe
 
Hata kama hatujui mpira kwa jicho la tatu, hawa wamiliki na hierarchy yote ya united wanaona nini kwa huyu upara ambacho sisi mashabiki wa kwa mtogole tumeshindwa kukiona?
Ukweli ni kwamba 10Hag timu imemshinda anafaa atupishe tuanze upya tena.

Labda tunaona aibu kumsainisha mkataba mpya na ndani ya mwaka miezi michache tumuone hafai tena?
 
Huyu Rashford anacheza kama ameishatwaa Balon d Or kumi hivi, hana haraka wala wasiwasi.
 
Watoto wa bwenyenye Sir Jim hawa hapa.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction
Man united 3 Vs Tottenham 1

watapigwa sana wale.
Hhahahahahahah
 


Kuanzia leo, ntakua napita humu kusoma comment zenu tu, maana timu naipenda ila yenyewe haipendi afya yangu ya akili na moyo.

Wale wa ten hag out thumb 👍
Wale wa tunaimani na kocha pia 👍

#tukonayompakaituue✈️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…