Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Daahhh sasa hivi kila timu inatamani zaidi kucheza Old Trafford kuliko kwenye dimba lao la nyumbani.

#Kwetu kama kwao.
Muwashukuru Spurs wamekuwa waungwana
Vinginevyo ingekuwa bao la 7 sasahivi
 
Mkuu mimi mashindano ya ueropa nilishaga ya kata sio hadhi yetu kama man u kwaiyo uji kunikuta nafatilia iyo michezo hadhi yetu sisi ni uefa tu.

Kiufupi mimi ueropa nilishaga ikataa kiufupi yani huko siusiki nachochote kinachoendelea.
Ally vip mkuuu kwan man shida nnj kaka kocha au wachezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…