Naanza kukubaliana na wale waliokuwa wanasema EtH hatufai. Hii game Bruno hakutakiwa kuanza, amechoka, anatakiwa atulizwe ajitafute, labda alitaka apate kadi nyekundu ndio ampumzishe kwa lazima.
Nilisema humu tena, wachezaji wetu wanapata mpira hawajui wafanye nini, ni kama vile hawapo uwanjani. Mchezaji anapigiwa pasi anashtuka ni kama hakutarajia. Hakuna mpango wowote, wanacheza kubahatisha tu.
It was a grave mistake kuendelea na ten hag toka amekuja team haina mfumo inacheza tu pressing hakuna yaani kama kuku tu walipachiwa bandani hapa kupata matokeo kipara afukuzwe rashford hana anachosaidia hata acheze dk zote ni takataka
Yqmejificha...yamekimbia na jukwaa lao kabisa🤣🤣🤣...hyu refa anayechezesha hii mechi ndo yule alompa Rice kadi nyekundu...mshenzi sana ana mkono mwepesi....Kobekobe Mauno atafute timu January ya kwenda....hii timu itamzeesha hyu mtoto mapema sana
...hyu refa anayechezesha hii mechi ndo yule alompa Rice kadi nyekundu...mshenzi sana ana mkono mwepesi....Kobekobe Mauno atafute timu January ya kwenda....hii timu itamzeesha hyu mtoto mapema sana