Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kikosi cha utd kilichoanza leo ndio kinapaswa kuwa kikosi cha kwanza labda aongezeke Ugarte na Hidjlund
Hiki kikosi cha leo na kile mlichocheza na liva ni katoka Casemiro na kuingia Eriksen na katoka Rashford kaingia Amad.

Nyinyi bado hamna kikosi cha kusumbua timu zote, mna kikosi cha uhakika cha kumfunga Barnsley labda timu zingine inabidi mpige ana anado nani aokoe jahazi
 
Hujui mpira wewe ukute ni shabiki wa Arsenal ambaye msimu wa tatu huu hamjachukua kombe hata la mbuzi. Hivi leo pale utd utamlaumu nani zaidi ya kupongeza ubora wa kipa wa Palace ambaye ni zao la utd? Muwe mnaheshimu mpira sio mchezo wa mdako ule. Time ya kikosi cha kwanza imecreate a lot of chances ambazo kipa wa Palace ndio alikuwa kikwazo. Bado ya kuingia Rashford tu timu ilipooza.
 
Punguza hasira.

Kama unahisi nakuonea kwa nilichoandika bado mapema msimu utachanganya soon
 
Nadhani team ilicheza vizuri sana kipa wa Palace anastahili pongezi kubwa.

Naanza kuelewa mipango ya kocha labda baada ya mechi saba au nane tunaweza kuiona team ikicheza bila unyonge.
 
Nadhani team ilicheza vizuri sana kipa wa Palace anastahili pongezi kubwa.

Naanza kuelewa mipango ya kocha labda baada ya mechi saba au nane tunaweza kuiona team ikicheza bila unyonge.
Mbona hamumpongezi onana.. Kwa sababu Onana ndo ka save clear chance kuliko Kipa w Palace
 
Lenny Yoro

Madrid ikagoma kutoa zaidi ya 30M

PSG ikagoma kutoa zaidi ya 45M

Nyumbu akatoa 63M.

Same scenario na Tony Spinner, evaluation inasema asizidi 20M Nyumbu wakatoa 80M.

Funny part? Yoro majeruhi. But hili siyo geni, hata Hojlund alisajiliwa akiwa majeruhi and somehow timu ilimanage kutoshuka daraja.

Its all under control sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…