Manchester United (Red Devils) | Special Thread

🔴🗣️ Erik ten Hag back in 2022 when he joined Manchester United:

“I admire both, Manchester City and Liverpool. They play fantastic football. But eras come to an end.” 🫣👀
 
Mmecheza vzr sana. Yule dogo aliyeingia kukamata dimba kipindi cha pili noma sana.
Tafuteni kipa wa kueleweka.

Kobe mauno mtoeni kwa mkopo hata uarabuni dirisha bado lipo wazi other wise mme improve sana.
 
Sisi Kama mashabiki wa washika bunduki (Arsenal) bado tunaimani na ten hag
Hana kitu huyo!

Kuna jamaa sijui anaitwa Hamisi humu! Alikuwa anapambana sana na kuwaambia watu uwezo wa Ten Hag ni wa kawaida. Na kama kawaida mashabiki wa Man U humu wakawa wanabisha.

Ten Hag ni kocha mwenye uwezo wa kawaida sana. Ila ni mzuri sana kwenye kuongea. Binafsi namuona ni mwanasiasa.
 
Tunatafakari..
 
😂😂😂 huyu jamaa kaenda wapi?
 

Attachments

  • Screenshot_2024-09-01-20-21-37-729_com.quoord.jamiiforums.activity-edit.jpg
    87.9 KB · Views: 14
Hadi unaona nyumbu wenyewe wanacheka, hii timu ilishakufa kitambo Sana

Moderator unganisheni huu Uzi na kula tunda kimasihara
Kwa hivi sasa furaha pekee ya Nyumbu hua tunaipata kwa Arsenyau kufungwa au kukosa kombe.
Shabiki yoyote wa Utd anaetegemea kupata furaha kupitia hii timu ataishia kua disappointed tu na huenda akaichukia mpaka burudani yenyewe ya soka.
 
I know individual errors cost us the game, and I also know that the players deserve criticism for continuously giving the ball away carelessly, but honest truth is that the set-up and approach was WRONG, and it's all down to the manager — Erik ten Hag.

I'll always back the manager, but being his third season, this is simply UNACCEPTABLE, and no one can blame the board if they decide they've seen enough.
 
Mkuu mbona umefuta comment yako kule jukwaa la Majogoo?
 
B… Mdakuzi nakuahidi leo sitoleta mjadala wa hii mechi, acha ibaki hivihivi.
Pole sana.
Lol! Asante sana b..., ila imekuwa vizuri imekuja mapema hii mechi, tumepata pa kupima changes ambazo tumefanya kwenye kikosi chetu.

Ila kwenye derby goli tatu ni nyingi sana, na imesikitisha kwa wao kupata clean sheet Old Trafford. It's okay, mechi hii imeshapita tugeukie mechi ijayo.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…