Aeko
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 599
- 1,362
Hata yeye mwenyewe anashalijua hilo kilicho baki ni kuzuga zuga tu hapo na kuchuma hela zake maana wakimvunjia mkataba watabidi wamlipe hela nyingi soTofauti ya Liverpool ni wachezaji wake wakipata mpira tayari wanajua nini cha kufanya. Man U wachezaji ni kama hawana akili ya mpira, wakipata mpira ndio wafikirie kwanza cha kufanya, ndio maana unaona hata mipira mingi inapigwa hivyo hovyo. Wachezaji wanapata mpira lakini hawajui wafanye nini. Liverpool wanastahili kuwa mbele.
Kinachofuata sasa baada ya kocha kupewa wachezaji wote hawa, atafukuzwa yeye. Sioni mabadiliko yoyote kwenye hii timu.
it's wise of a business man