Manchester United (Red Devils) | Special Thread

😅😅nashangaa nikiona nyumbu ana wacheka Chelsea waki sajiri bhna wakati bado mpo na vibabu Evans hadi leo
 
Anausoma upepo, soon atatia maguu humu jf. Nawaambia mtaliona hili jukwaa chungu
Mwamba afanye arudi tu kwa kweli, jamaa linajua sana kuchangamsha jukwaa, likianza kutusimanga unaweza kuhisi Masingeli ni mtoto wa Hadija kopa kakake na Zuchu.
Tokea amepotea jukwaa la Arsenyau limekosa kabisa mvuto, mwamba alikua analifanya jukwaa la Arsenyo linakimbiza kuliko majukwaa yote ya sport hapa Jf.
 
Dah! team yetu me hata sielewi inachofanya yani

Structure ya uongozi mpya hadi wakurugenzi wa ufundi cha ajabu sajili zinazokuja niza ten haag bado.

Tuna shida kubwa eneo la ufungaji unaleta Zirkizee as back up number9 kweli?

Team haina LB

Unaleta mazroui me hata sioni anachooffer mpaka sai zaidi ya sifa za bure anazopewa
 
Average player yule
 
Yani mashabiki bwana tumepoteza game Moja tu mmeanza lawama mimi nasubiri mzunguko wa kwanza uishe ndo nitaanza kuongea.

Maana mpaka uongozi umeingia mpya umemuamini Ten 10 nakumpa mkataba mpya ila fans wa bongo mnavyo piga kelele hapa.
 
Unaona hata team inavocheza yani hatutashinda giant hata mmoja
 
Yani mashabiki bwana tumepoteza game Moja tu mmeanza lawama mimi nasubiri mzunguko wa kwanza uishe ndo nitaanza kuongea.

Maana mpaka uongozi umeingia mpya umemuamini Ten 10 nakumpa mkataba mpya ila fans wa bongo mnavyo piga kelele hapa.
Me chi ya kwanza mlishinda kwa bahati, mechi ya pili ilikuwa droo mkazembea, kiujumla uchezaji sio mzuri na 10hag atakuwa kocha wa kwanza, wa pili au wa tatu kutimuliwa msimu huu kutimuliwa
 
Hii timu bado inajitafuta na inaonekana bado iko pale pale tu,inacheza na Bruno factor.
Siku jamaa akiwa out of form timu nzima inapoteana. Fikiria wenzetu city hawana hata haraka ya kumrudisha Rodri uwanjani na wanashinda kirahisi sana na style of play iko pale pale, ila sisi tumemrudisha mapema sana Bruno ambaye amecheza mechi nyingi sana msimu jana pamoja na euro.
Fatigue itamuua Bruno kwa ujinga wa Erik.
 
Timu imenunua mabeki watatu msimu huu ila bado inamchezesha maguire kama starter na inatafuta kiungo wa mkopo. Sidhani kama kuna nafasi ambayo ililalamikiwa kwa muda mrefu sana katika united kama eneo la kiungo wa chini, ila hadi sasa tunapambania kumpata ugarte kwa mkopo.
 
Bruno anatumika mno 10hag atakuja kumdondosha uwanjan
 
Yaani kocha alisha amua auzwe mchezaji akagoma akawa anasugua benchi sasa hv anakuwa tena mchezaji wa kikosi cha kwanza 😄
 
Mkikutana na Chelsea hamna hamna mtafugwa ngapi?
Yani mashabiki bwana tumepoteza game Moja tu mmeanza lawama mimi nasubiri mzunguko wa kwanza uishe ndo nitaanza kuongea.

Maana mpaka uongozi umeingia mpya umemuamini Ten 10 nakumpa mkataba mpya ila fans wa bongo mnavyo piga kelele hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…