Oyyaaaahh Nyumbuz wenzangu sio kwa nia mbaya hapana na lengo sio kutishana wala kutiana simanzi bali ni kukumbushana tu mechi inayofata tunacheza dhidi ya Liverpool
ila wakuu hata tukisema 10 hag aende nani atakae weza kuja kuinyanyua hii timu kwa sasa sokoni hakuna ni bora huyu huyu mwisho wa msimu anapata bahati hata ya carabao inatusaidia kwenda kuwacheka mahasimu wetu hasa arsenal maana kombe la kubwa ni nafasi ya 2 wazee wa taito kontendaz
Kikubwa ninachoshukuru Dictator Masingeli ame resigned mwenyewe, laiti angukua bado yupo madarakani sijui siku ya leo hili jukwaa lingekua kwenye hali gani.
Baba Ubaya hana ubaya na mtu, Kipara piga kazi baba hii ligi ni nyepesi tu kuliko hata Eredivisie, wasikutishe hawa chawa pro-max 'Eras can come to an end'