Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu kocha naanza kuwa na mashak naye huwezi kumpanga Bruno straika wakati Zirkee anaanziq bench yaani timu inacheza kama ipo mazoezini? Wachezaji wapo legelege wanapambana ni vinana tu. Casemiro, Mount, na Rashford sio wakuanza kwenye hii timu.
 
Enhe nani mbovu leo
 
alafu kuna mtu anakuambia eti tumecheza vizur yani tunapigwa pressing mtu tunatetemeka huku tukipata counter mara mtu kateleza mara utumbo utumbo tu yani lile goli dogo la amad kajitoa sana bila hivo ingekuwa aibu amna mtu wakufanya 1v1 kufosi kuongia ndani rashford dah huyu
 
Nilijikatiaga tamaa kipindi kile kulikuwa na mjadala wa kubadili kocha, ghafla ikaja taarifa kuwa kipara yupo sana united. Nikajisemea hamna kitu hapa.
Tunaenda kwenye kundi la kumi la pili ndani ya mechi 2 tu. Wiki nafasi yetu itakuwa kuanzia 11-20
 
ila wakuu hata tukisema 10 hag aende nani atakae weza kuja kuinyanyua hii timu kwa sasa sokoni hakuna ni bora huyu huyu mwisho wa msimu anapata bahati hata ya carabao inatusaidia kwenda kuwacheka mahasimu wetu hasa arsenal maana kombe la kubwa ni nafasi ya 2 wazee wa taito kontendaz
 
Kwa timu yenye akili timamu Carabao sio kombe la kumtambia mpinzani. Kombe hadi Oxford nini sijui anashiriki.

Ndio maana hapo mlipo mkiambiwa mtupe Ten tuwape Arteta aliyemaliza bila kombe mtakubali chapu.
 
Mpeni Van nistelroy timu...atawafaa...kipara bumunda baba ubaya atawaua kwa mawazo hyu mzee....yaani dk ya 80 mmeanza kupelekewa moto mpk mkapagawa....yule De Ligt mmesajili wa nn Sasa...hana positional awareness...yaani yupoyupo tu....yule na magwaya mi namchagua magwaya....mna matatizo makubwa sana majirani🤠🤠
 
Dah angalia mechi ya man city na Ipswich madogo waliongoza dakik ya 7 lakin man city katumia dakika 18 tu kumsokomeza 3 mpaka dakika hii ya 20 ni 3-1

hii hii Ipswich inaweza kututoa jasho lakini man city wanacheza kwa kuonyesha how quality they are and how world-class they are na ni kitu ambacho sisi man utd hatuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…