Hehehehe Rubaman nimeamini huwapendi United, Munich Boring Kama United wangepasua kati vizuri wangefungwa Lahm si wakucheza kati Yule ni kulia anapanda then Javier Martinez ndio angekaa kati, Welbeck ndio alipoteza nafasi alifikiria kipa ni Taibi na yeye ni Naymar, Dondonald Leo utabiri bado nusu nipatie United kufunga kwa Kona Sema hawajashinda Kama Munich watakuwa magoli wanataka kufunga mpaka ndani ya 2yard wasahau kufumfunga United Rooney alikuwa Middle sana. Belo chakula kitapita sasa Nzi yeye hata uchafu anakula? hongera United mmejitahidi au mumewaweza Munich.