Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tunarahisishiwa kazi next week watu wawili watamiss hilo game. Martinez na Schwenzteiger
 
vidume hatujakubali kupigwa nyumbani sisi sio arsenal bana. Tunawaendea kwao Jumatano tukiwa full na 'hat trick boy' Van persieeeee.
 
......well played buddies,
Tulitegemea mngekula kipondo lakini mmewawekea msuli....

It's only a game, kwao lolote laweza tokea.

#MosKwito !
 
vidume hatujakubali kupigwa nyumbani sisi sio arsenal bana. Tunawaendea kwao Jumatano tukiwa full na 'hat trick boy' Van persieeeee.

.....hehhehh,
Kaka mbona unaanza kejeli tena ilhali ndio kwanza upo kati ya mto?

It' was only a tactical game, Bayern walikuja kwa Draw au ushindi...
Huko kwao itakuwa One Way traffic... Na msiombee mpate Refa mbaya...

#Nilikuwepo !

#MosKwito !
 
vidume hatujakubali kupigwa nyumbani sisi sio arsenal bana. Tunawaendea kwao Jumatano tukiwa full na 'hat trick boy' Van persieeeee.

What??? labda cloned RVP. Huyu refa wa Spain lazima atakuwa Real Madrid fan au Barcelona fan mwenye machungu na Pep. Kwa nini hakumpa Valencia second Yellow kwa just reaction ya kindava-ndava? Anyway, bado mna nafasi lakini kazi ni nzito.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Martinez na Bastian kutokuwepo next battle Ni advantage kubwa kwetu man u....GGM
 
Sio 'waziri mkuu' mngeshinda leo afadhali lkn goli la ugenini nliloruhusu limewapa nguvu sana. 7lona gemu imeishaje wadau?

Tunachotakiwa sisi ni kuhakikisha tunafunga goli/magoli kwenye mechiya marudiano.
 
What??? labda cloned RVP. Huyu refa wa Spain lazima atakuwa Real Madrid fan au Barcelona fan mwenye machungu na Pep. Kwa nini hakumpa Valencia second Yellow kwa just reaction ya kindava-ndava? Anyway, bado mna nafasi lakini kazi ni nzito.

Kwenye return leg itakuwa hivi Bayern Out, Barca Out

Semi Final Man Utd against Atletico Madrid

All the way to the final against PSG

Hapo ninajua unajua matokeo yatakuwaje
 
Back
Top Bottom