Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,634
- 11,116
Hawa INEOS wanaweza kuwa bora kuliko Sheikh Jassim.
De Ligt
Yoro
Branthwaite
Tayari bid zipo mezani, wakati Everton wanakaza kwa Muingereza, Lille washakubali bid. Anasubiriwa tu Yoro kutoa green light na Bayern kukubali offer ya De Ligt.
United kweli imeazimia kufunga goli msimu ujao kwa vitasa vya uhakika.