Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1717835589200.png
 
✅ Exclusive: There was a meeting in Monaco last Tuesday between Thomas Tuchel and the new Manchester United shareholder Jim Ratcliffe
❇️ Tuchel revealed his plans if he were to take over the coaching position in the event of Erik ten Hag being fired
❇️ Tuchel is said to have explained to the United co-owner how he could get United's sporting problems like Sancho and Mason Mount back on track
❇️ Tuchel mentioned Antonio Rüdiger as example that he had already succeeded in the past in getting Players with great potential back to top performance
@BILD_Sport
 
EXCL: Thomas Tuchel NOT planning to take Man United job, he wants to take a break not coaching any club this summer.

Tuchel currently decided not to continue in talks with United after meeting in the recent weeks.

Fabrizio Romano
 
INEOS wameonyesha tabia za kimalaya asubuhi yote hii

🚨 Roberto De Zerbi is one of the names under consideration to replace Erik ten Hag. There are also members of the Manchester United hierarchy who have given serious consideration to Gareth Southgate. #MUFC [
@TheAthleticFC
]
 
Hii habari imenifurahisha sana. Kamwe sikuwahi kuwa na mashaka na Ten Hag. Kwangu mimi ndio kocha bora utd kumpata baaada ya Sir Ferg. Nasema hivyo kwa sababu anatabia na falsafa fulan kama za Sir Ferg ambazo ndio ziliifikisha utd pale ilipo.

Kwanza hacheki na kima na haangali jina la mchezaji, awe mkubwa awe mdogo akizingua anamzingua na anamuondoa kwenye timu au kupiga mnada Ole guna alikuwa kocha mzuri hili lilimshinda na alikuwa na kijitabia cha ubaguzi kwa baadhi ya wachezaji kwa kuwanyima nafasi, huwezi kuwa na Cavan benchi halafu Martial anacheza dakika 90 na hakupi matokeo vivyo hivyo kwa Igalo dhidi ya Martial. Erick kawanyoo
sha mfano Ronaldo, Pogba kuuzwa Sancho kutolewa kwa mkopo na Maguire kuvuliwa ucaptain.

Pili anaibua vijana kutoka academy hii inaonesha anajua kufundisha mpira na hichi kitu ndio mafanikio ya utd. Vijana wa academy siku zote ni wafia timu. Tatu ni kocha wa vikombe, pamoja na wakati mgumu aliyepitia katika misimu yake miwili kachukua vikombe viwili hii inaonesha ana uwezo wa kuchukua kombe katika mazingira yeyote.

Kilicho mgharimu Ten hag ni majeruhi ya muda mrefu ya wachezaji wake muhimu hasa aliyewasajili wamekuwa wakipishana kwenye majeruhi na hii ilimuharibia mipango yake toka msimu wa kwanza na kubadilisha hata style ya uchezaji. Kuna kipindi Casemiro akiwa kiungo tegemeo wa timu alipata majeruhi ya muda mrefu mara makadi mekundu timu ikaanza kudrop point ikiwa kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa.

Kuna wakati Luca Show,Varane, Malacia ,Bisaka wote kwa pamoja walikuwa majeruhi lakini bado timu ilipambana. Unakuta timu inastraika kama Martial tena majeruhi, winga mvivu kama Sancho na Rashford lakini bado jamaa alipambana. Mimi naami jamaa kafanikiwa sana hasa kwenye nidhamu ya timu na kuwapa hamasa vijana hii imewapa alert wakubwa hasa wavivu kama Rashford. Naamini kuanzia msimu ujao utd itaanza kuwa ya moto maana kutakuwa na ushindani mkubwa wa number na hata vijana wa academy wengi watapanda hivyo wazee wakae chonjo. Naona kabisa utawala wa City ya Pep na Liver ya Klopp unakaribia kuisha unarudi utawala wa utd na arsenal ila kwa sasa ni Ten hag na Ateta.
 
I second you bro.
Ngonj tuangalie sajili zake
 
Back
Top Bottom