Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi Hawa Man-u wanachezaje? Yani hakuna kabisaa pattern ya kiuchezaji!!! wakichukua Mpira muda mchache tu wameshanyanganywa. Yani kama vile hawaendi kiwanja cha mazoezi.
 
Yani timu hata ifungwe mfululizo huwezi sikia hatua yoyote inayochukuliwa na viongozi wa Timu,yani utaona kimya tu kama vile Timu inacheza vizuri na kwa usahihi. Sasa mount walimnunua wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…