BJB FC JF-Expert Member Joined Aug 25, 2015 Posts 2,169 Reaction score 2,487 Apr 21, 2024 #200,841 Uzuri wa huyu kipa wa Coventry, ana historia ya kudaka penalty 2 kati ya 5 wakati wa matuta. Yani hata iweje huwa mbili ni lazima afiche.
Uzuri wa huyu kipa wa Coventry, ana historia ya kudaka penalty 2 kati ya 5 wakati wa matuta. Yani hata iweje huwa mbili ni lazima afiche.
Flano JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,842 Reaction score 16,292 Apr 21, 2024 #200,842 mkorea said: Hivi Coventry ni timu ya kwenda nayo Hadi mikwaju ya penalty? Click to expand... Pamoja na ubovu wa timu yetu ila hawa madogo wakiingia ligi kuu watasumbua sana.
mkorea said: Hivi Coventry ni timu ya kwenda nayo Hadi mikwaju ya penalty? Click to expand... Pamoja na ubovu wa timu yetu ila hawa madogo wakiingia ligi kuu watasumbua sana.
HENRY14 JF-Expert Member Joined May 13, 2021 Posts 3,593 Reaction score 6,932 Apr 21, 2024 #200,843 BJB FC said: Uzuri wa huyu kipa wa Coventry, ana historia ya kudaka penalty 2 kati ya 5 wakati wa matuta. Yani hata iweje huwa mbili ni lazima afiche. Click to expand... Unawaogopesha wenzio
BJB FC said: Uzuri wa huyu kipa wa Coventry, ana historia ya kudaka penalty 2 kati ya 5 wakati wa matuta. Yani hata iweje huwa mbili ni lazima afiche. Click to expand... Unawaogopesha wenzio
Forgotten JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 3,630 Reaction score 11,096 Apr 21, 2024 #200,844 Washinde tu aisee ila hawa wachezaji wetu hawajifunzi kitu. Angalau Sir. Jim analeta watu wa mpira, yani uwanjani huoni tofauti ya mchezaji wa United na Coventry.
Washinde tu aisee ila hawa wachezaji wetu hawajifunzi kitu. Angalau Sir. Jim analeta watu wa mpira, yani uwanjani huoni tofauti ya mchezaji wa United na Coventry.
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,633 Reaction score 121,022 Apr 21, 2024 #200,845 mkorea said: Hivi Coventry ni timu ya kwenda nayo Hadi mikwaju ya penalty? Click to expand... Chini ya kipara si jambo la ajabu
mkorea said: Hivi Coventry ni timu ya kwenda nayo Hadi mikwaju ya penalty? Click to expand... Chini ya kipara si jambo la ajabu
K kariobangii JF-Expert Member Joined Jul 21, 2023 Posts 515 Reaction score 675 Apr 21, 2024 #200,846 Carasco Putin said: View attachment 2970242 Click to expand... Panga la Shaba Leo kitu Cha moto
K kariobangii JF-Expert Member Joined Jul 21, 2023 Posts 515 Reaction score 675 Apr 21, 2024 #200,847 M Z A N Z I B A R I said: Chini ya kipara si jambo la ajabu Click to expand... a k.a Panga la shaba
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,582 Reaction score 19,226 Apr 21, 2024 #200,848 Flano said: Pamoja na ubovu wa timu yetu ila hawa madogo wakiingia ligi kuu watasumbua sana. Click to expand... Ombeni mshinde, hamis77 anawasoma tu
Flano said: Pamoja na ubovu wa timu yetu ila hawa madogo wakiingia ligi kuu watasumbua sana. Click to expand... Ombeni mshinde, hamis77 anawasoma tu
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,582 Reaction score 19,226 Apr 21, 2024 #200,849 M Z A N Z I B A R I said: Chini ya kipara si jambo la ajabu Click to expand... Mlikataa kumsikiliza hamis77 kuhusu Prof 7 hag
M Z A N Z I B A R I said: Chini ya kipara si jambo la ajabu Click to expand... Mlikataa kumsikiliza hamis77 kuhusu Prof 7 hag
K kariobangii JF-Expert Member Joined Jul 21, 2023 Posts 515 Reaction score 675 Apr 21, 2024 #200,850 Flano said: Pamoja na ubovu wa timu yetu ila hawa madogo wakiingia ligi kuu watasumbua sana. Click to expand... waingie mwaka gani,na wako point 9 nyuma ya Playoffs position? nyinyi kubalini ni wabovu tuu
Flano said: Pamoja na ubovu wa timu yetu ila hawa madogo wakiingia ligi kuu watasumbua sana. Click to expand... waingie mwaka gani,na wako point 9 nyuma ya Playoffs position? nyinyi kubalini ni wabovu tuu
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,165 Reaction score 123,284 Apr 21, 2024 #200,851 Aise huu mwaka wa tabu yani kote kote mambo ni magumu
Flano JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,842 Reaction score 16,292 Apr 21, 2024 #200,852 mkorea said: Ombeni mshinde, hamis77 anawasoma tu Click to expand... Labda tushinde njaa, Aiseee kama kufungwa kwetu ndio kutamtoa Masingeli vichakani bora tufungwe tu.
mkorea said: Ombeni mshinde, hamis77 anawasoma tu Click to expand... Labda tushinde njaa, Aiseee kama kufungwa kwetu ndio kutamtoa Masingeli vichakani bora tufungwe tu.
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,582 Reaction score 19,226 Apr 21, 2024 #200,853 Flano said: Labda tushinde njaa, Aiseee kama kufungwa kwetu ndio kutamtoa Masingeli vichakani bora tufungwe tu. View attachment 2970317 Click to expand... Yeah final, not this season
Flano said: Labda tushinde njaa, Aiseee kama kufungwa kwetu ndio kutamtoa Masingeli vichakani bora tufungwe tu. View attachment 2970317 Click to expand... Yeah final, not this season
M Mpalakugenda JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 4,649 Reaction score 5,074 Apr 21, 2024 #200,854 Hawa Coventry namna gani hapa. Mechi yao hii
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,147 Reaction score 16,999 Apr 21, 2024 #200,855 Mam@€€..... Huo moto mnao pelekewa sio wa kawaida. Hahahahahahahahahahha
Bukayo Saka JF-Expert Member Joined Nov 27, 2017 Posts 303 Reaction score 469 Apr 21, 2024 #200,856 Flano said: Labda tushinde njaa, Aiseee kama kufungwa kwetu ndio kutamtoa Masingeli vichakani bora tufungwe tu. View attachment 2970317 Click to expand... unafanyiwa comeback ya goli tatu na timu ya chuo 🤣🤣
Flano said: Labda tushinde njaa, Aiseee kama kufungwa kwetu ndio kutamtoa Masingeli vichakani bora tufungwe tu. View attachment 2970317 Click to expand... unafanyiwa comeback ya goli tatu na timu ya chuo 🤣🤣
Bukayo Saka JF-Expert Member Joined Nov 27, 2017 Posts 303 Reaction score 469 Apr 21, 2024 #200,857 Tapeli walter white Attachments Snapchat-1496402357.mp4 4.9 MB
BJB FC JF-Expert Member Joined Aug 25, 2015 Posts 2,169 Reaction score 2,487 Apr 21, 2024 #200,858 Nyumbuuuuuuuuuuuuuuuu
M Mpalakugenda JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 4,649 Reaction score 5,074 Apr 21, 2024 #200,859 Nyumbu ni nyumbu tu,
kashata JF-Expert Member Joined Apr 19, 2012 Posts 532 Reaction score 552 Apr 21, 2024 #200,860 Bora tutolewe