United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,234
- 6,597
Shauri ako tupo apa na bado Spurs lazima ukuchapeHuna huo ubavu...beki Kambwala unifunge...United mna mchezaji mmoja tu wa maana..Kobe Mauno sijui...hawa wengine ni vituko tu....mkicheza mnavyocheza hvi nakuhakikishia hutakaa upate on target hata moja
Anafungia wapi kwa mfano...na nyny mnafungia wapi....kwnza nahangaika kuzungumziq mechi ya pili kutoka mwsho kumaliza ligi ya nn....wacha nilambe watu makonzi kwny hzi mechi zinazofata mpk nikikutqnq na nyny kono la nyani linakuwa activatedShauri ako tupo apa na bado Spurs lazima ukuchape
mzee acha kujichekesha city bigwa pole sana tukutane next season uzuri mnaweza kushika nafasi ya piliAnafungia wapi kwa mfano...na nyny mnafungia wapi....kwnza nahangaika kuzungumziq mechi ya pili kutoka mwsho kumaliza ligi ya nn....wacha nilambe watu makonzi kwny hzi mechi zinazofata mpk nikikutqnq na nyny kono la nyani linakuwa activated
Sawa b..., leo tulifanya kazi kubwa, ila bahati haikuwa kwenye. Bila shaka wakati mwingine tutakamilisha.B… Kama tulivyokubaliana nikiwa upande wenu lazima mshinde, leo fanyeni kweli nizuieni huyo Livakuku kunisogelea pale juu.
Mdakuzi
Vipaji halisi havizalishwi tena wachezaji wanaanza kufundishwa mifumo wakiwa watoto badala ya kucheza mpira.Nachukizwa sana na aina ya washambuliaji wasioweza kupiga chenga, kumiliki mpira, dribbling na mengineo.
Cha ajabu dunia ya leo washambuliaji aina hiyo wamekuwa wakiongezeka.
Nisingeweza
Hizi kelele zitageuka kilio hapo mwezi May mlivyosoft hamtaaminiWajinga mmekaza bhana.
Hongereni aisee. Nilitegemea leo mpigwe si chini ya 4-0
HawataaminiMkija Old Trafford mje na kombe la EPL mkononi bila hivyo siku hiyo itakuwa ya maumivu kwenu.
Naitunza hii postHuna huo ubavu...beki Kambwala unifunge...United mna mchezaji mmoja tu wa maana..Kobe Mauno sijui...hawa wengine ni vituko tu....mkicheza mnavyocheza hvi nakuhakikishia hutakaa upate on target hata moja
Sisi tembo hii tunaita kelele za churaHizi kelele zitageuka kilio hapo mwezi May mlivyosoft hamtaamini
Man u hiyo mechi yenu vs Arsenal hatuihesabii tutawapiga vzr tu, half time mechi itakuwa imeishaNaitunza hii post
Nyie mshakata tamaa au sio,Hizi kelele zitageuka kilio hapo mwezi May mlivyosoft hamtaamini
Hiyo siku hamtaamini uzuri mtakuja OT Man City alishantangaza ubingwa.Nyie mshakata tamaa au sio,
Sawa ,tuombe uzima tuHiyo siku hamtaamini uzuri mtakuja OT Man City alishantangaza ubingwa.
Uzima gani wakati ukipigwa huwa unakimbia jukwaani ?Sawa ,tuombe uzima tu
Manjesta bana ,unaongea utadhan una timu basi ya maanaUzima gani wakati ukipigwa huwa unakimbia jukwaani ?
Ukikosa ubingwa si hautaingia humu kuja kupiga kelele
Sasa ukikimbia tutakukutia wapi mzee au nikajage ofisini kwako.Manjesta bana ,unaongea utadhan una timu basi ya maana
Mm siongei mengi ,tupo hapa
Naimaliza mechi hapo OT ,half time
usi icount man utd out kirahisi hivo its football and sometimes lucky decides who is goin to walk out with 3 pointsManjesta bana ,unaongea utadhan una timu basi ya maana
Mm siongei mengi ,tupo hapa
Naimaliza mechi hapo OT ,half time