D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Mwanangu kila timu unayoshabikia we ni majangaHuu ni umazafaka sasa
Bado hamjasemaTusema ukweli zile peneti angepigiwa chelsea dunia nzima ingeongea kama ile ya dalot ni penati mech ya arsenal gabriel alimdaka kabisa hojlund haikuwa penati sasa ile ya dalot aaaa kituko aiseee ukija ya cucurela nye nye nye
Chelsea wamesajili wachezaji wengi wadogo kwa hiyo kuna Changamoto ya Uzoefu. Msimu Ujao kama atapata CF Osimhen/Vlahovic & Toney watafanya Poa sana tofauti na Msimu Huu. CB's {Fofana, Colwill, Disasi, Badiashile, wanaongeza Mmoja tu World Class acheze CCB aunganishe timu na GK kati ya Maignan/Costa.enzo, palmer, gusto, sterling, chukwuemeka, caicedo, lavia, james, colwill, nkunku (injury prone), mudryk hata madueke anaweza kuwa mchezaji wa hakiba.
Eneo wanalohitaji kulipa kipaombele ni mshambuliaji, mabeki wa kati na mlinzi wa kushoto
kwa kuangalia situation tulionayo unadhani kipi kitangulie kati ya :Chelsea tofauti na UTD hawaitaji fanya Shopping kubwa na kutokuwa na Mashindano mengi kutawasaidia. UTD 75% ya timu ni ya Kuuza mara Mia Watumike watoto wa Academy.
Angalau wewe unaweka mezani kazi. Mwingine anamuweka my wife wake mezani kisa mpira.Mimi ni mtangazaji redio maarufu huku malampaka mkoani. Naweka ahadi Manchester united akinifunga jpili naandika barua ya kuacha kazi