Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,413
- 2,358
Mimi binafsi shaw namkubali. Namuona mtu wa kazi sana. Uwa nakuwa na imani awapo uwanjani. Amrabat kwakweli HAPANAMim ndio kabsaaaaa......amad anamuwekaga nje why?
Activeness ya watoto wa academy huwez ukafananisha na Rushford. Anazunguka tu...ona ganacho anavyozunguka..tulimiss sana hustle za Rooney Ganacho anafuata mtu.
Kiukweli hata Ruke Shaw ni walewale bora hata Amrabati
Jamaa anatakiwa aanze na hoijlund pale mbeleIla scott ni namba 9 huko kungine sio
Scot ni advanced Eight sema hana skills nyingi tu uwanjani.Ila scott ni namba 9 huko kungine sio
Mchezaji hatakiwi kupewa nafasi kama sadaka anaipata nafasi akionyesha anaweza kutekeleza kila anachokitaka mwalimu mazoezini.Mim ndio kabsaaaaa......amad anamuwekaga nje why?
Activeness ya watoto wa academy huwez ukafananisha na Rushford. Anazunguka tu...ona ganacho anavyozunguka..tulimiss sana hustle za Rooney Ganacho anafuata mtu.
Kiukweli hata Ruke Shaw ni walewale bora hata Amrabati
Kulia Amad over Garnacho itakuwa sawa ?Huyu Amad apewe nafasi atuonyeshe kiwango sio kuambiwa na EtH maana hatumuamini kwa sasa. Daily wachezaji wengi tu wa kikosi cha kwanza wanaharibu mechi baada ya mechi lakini hawakosi nafasi. Anakosaje ujasiri wa kumuamini Amad aliyekwishakiwasha championship walau mechi 3 hadi 4 mfululizo? Au ndio ubaguzi tunaousikia huu?
Amad aende kushoto over Rashy sio mbaya.Kulia Amad over Garnacho itakuwa sawa ?
Mpira hauchezwi hivi wakuu mchezaji anatakiwa kuonyesha hicho mazoezini.Amad aende kushoto over Rashy sio mbaya.
Lakini wakati wa debut yake Garnacho amewahi kucheza kushoto akafanya poa tu kama kulia, lengo Amad apewe nafasi pia.
Option nyingine Anthony atokee kushoto labda akawa crosser mzuri kuliko Rashy anayewaza kufunga kila nafasi inayotokea.
UTD Pia ina shida kwenye FFP kwa hiyo kuna uwezekano Pia kushindwa fanya sajili nyingi. Kuna wachezaji tegemezi ila kama wameshakuwa mzigo Akiwamo SHAW. Tunaweza enda enda nae kumkomaza HARRY AMASS.Tatizo la Erik Ten Hag timu haina rest defence DM wanalazimika kucover eneo kubwa sana kuliko kawaida that's why tunaconceed shots nyingi sana
Acha uhuniKauli Yako Ina ukweli.
Sisi fullbacks wetu hawa invert kuingia kwenye midfield tukiwa tukienda kushambulia tunapoteza defensive shape yetu kwa sababu ya wachezaji wengi kutokuwa wazuri individuallyUTD Pia ina shida kwenye FFP kwa hiyo kuna uwezekano Pia kushindwa fanya sajili nyingi. Kuna wachezaji tegemezi ila kama wameshakuwa mzigo Akiwamo SHAW. Tunaweza enda enda nae kumkomaza HARRY AMASS.
Academy imekuwa jibu sana kwa miaka mingi. Amass anaweza kuja okoa Pesa Mingi. INEOS wafanye namna tumpate yule Melvin Bard hata kwa 25m kwenye ile timu yao. Upande wa Kushoto umekuwa tatizo sana msimu huu.
Tatizo la Rest Defense ni kwa sababu Pia hatuna CB's wanaokuwa wazuri kuzuia zile wide channels 1v1 {VVD, DIAS, SALIBA, n.k} na kuanza mashambulizi hapo hapo, Pia DM Mwenye uwezo wa kufanya Screening ~ Casa sio Yule tena, Imefanya tumekuwa na aina ya magoli ya kufanana inapigwa "V" Cut back, Opponent anachagua tu Angle hana wa kumghasi inaishia kuwa Deflection ama GK kuangalia tu. Sajili tunahitaji 1st 11 kwa Kuanzia {RCB, DM, RW, (LCB n LB)}