Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Amad tracking back played big part in 3rd goal and interception on Elliott started the 4th goal. He and Garnacho stood out for me today, they were giving everything. Antony also impressive at LB and RW, got to give credit where it is due.
Huyu Anthony acheze beki tu
 
It was Alejandro Garnacho who set up Amad, with the Argentinian making a remarkable burst from just outside his own penalty area. The 19-year-old had played the entire game. And yet, he still had the ability to fly away from the Liverpool players and find his teammate.

Garnacho made five key passes during the game, according to Whoscored. No player on either side managed to make more.
 
Kwa mpira anaotaka kuufundisha ETH

Diogo Dalot ni mmoja ya wachezaj wanaofaa nawaza kama solskjaer angefanikiwa kumuuza basi timu ingekuwa imepoteza bonge moja la mchezaj

Diogo Dalot
Dalot pamoja na kua hayupo vizuri sana kwenye defence ila jamaa ni mpambanaji sana na ni mzuri sana kwenye kupeleka mashambulizi, ukimfatilia vizuri huyu jamaa hapo Utd alipaswa kucheza nafasi ya RW kuliko RB.
Kipindi cha nyuma watu walikua wanamkandia sana humu, hata alipoongeza mkataba kelele zilikua nyingi sana humu.
 
Dalot kaanza Kua na akili huu mwaka tu sio wa kumdhamini sanaaa ila ni mpambanaji tu.
Bonge Moja la mchezaji unatakiwa kusema kwa mainoo
Kwa mpira anaotaka kuufundisha ETH

Diogo Dalot ni mmoja ya wachezaj wanaofaa nawaza kama solskjaer angefanikiwa kumuuza basi timu ingekuwa imepoteza bonge moja la mchezaj

Diogo Dalot
 
Daah mkuu me kiukwel simuelewi japo tunashinda tuu
Mim ndio kabsaaaaa......amad anamuwekaga nje why?
Activeness ya watoto wa academy huwez ukafananisha na Rushford. Anazunguka tu...ona ganacho anavyozunguka..tulimiss sana hustle za Rooney Ganacho anafuata mtu.

Kiukweli hata Ruke Shaw ni walewale bora hata Amrabati
 
Kiukwel tutaona msimu ujao hui tuombe tu hii FA Tuchukue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…