Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nakubaliana nawe 100% mkuu.
 
Inauma sana kuona huyu Mono bado yuko OT, bahati mbaya ushabiki wangu hauna maamuzi vinginevyo ningemuanzishia Petition ya kumtimua!
 
Jamani kesho naweza nikawa bize na mambo mengine... ngoja niwape POLE kabisa kwa kipondo mtakachokipata toka kwa vijana wa Guardiola!
 
.....Dahhhh, hahahahaha....hivi kumbe ni kweli #HATUSHIKIKI imeondolewa kwenye title ya thread hii?
hahahahahahahaaaaaaa.......Hii ni historia nyingine aliyoiweka David Moyes wallah,....hehhehehh...

Cc; Wacha1, pierre. fm, Wandugu Masanja, Balantanda, Mentor, et al....
Next? #MoyesOut?
 
Last edited by a moderator:
hahahah..Ukiwa na MAHABA na team, sometimes ni kitu kibaya sana, Yaani kuna mashabiki humu, Wanawaza kubeba ubingwa wa UCL this season, Eti the only way moyes anaweza akabak OT ni kuwin the Champions League....!!!!! seriously??????
 
Kila la heri Man United hii leo kwenye zoezi la kuitafuta nafasi kwenda kunyakua kombe la Uef,chini ya jua kila kitu kinawezekana tu ni hao hao Bavarians tuliowahi kuwatoa kwao kwa mshangao mkubwa wakiwa wanaongoza mbili bila!
Go go goo gooo goooo
Man United, nafasi kubwa wanayo kutwaa kombe hili pia ni wawakilishi pekee wenye historia ya maajabu.
 
Kwakuwa leo ni siku kuu ya wajinga duniani,Manure mkifungwa basi mjue Bayern walikuwa wanawatania tu na wala si kweli!

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kwakuwa leo ni siku kuu ya wajinga duniani,Manure mkifungwa basi mjue Bayern walikuwa wanawatania tu na wala si kweli!

"Nlikuwepo":bolt:

Anaepoteza nguvu na mda wake kuhusisha tukio lolote na siku ya wajinga nae ni mjinga
 
wakuu mida yetu leo sio kama ya siku zote, leo game inawahi ni saa nne kasorobo(2145hrs) na sio tano kasorobo kama ilivyozoeleka.
 
...soon tutawaletea kikosi kamili kitakachoiua munchen pale old traford(theatre of dreams)
..possibly kule mbele, kagawa kushoto.rooney na mata katikati, valencia kulia leo mbona watalia hapo mtoto Januzaaaj hajaingia bado.
 
wakuu mida yetu leo sio kama ya siku zote, leo game inawahi ni saa nne kasorobo(2145hrs) na sio tano kasorobo kama ilivyozoeleka.

Mkuu nashukuru kwa taarifa...sikufahamu hili.
 
Man utd nawapa pole mapema leo mtafungwa tano bila yani man utd 0-5 bayern . Man hii ya sasa kumfunga bayern ya sasa ni sawa na kujifariji chadema watachukua nchi
 
Man utd nawapa pole mapema leo mtafungwa tano bila yani man utd 0-5 bayern . Man hii ya sasa kumfunga bayern ya sasa ni sawa na kujifariji chadema watachukua nchi

Bayern lazima apakatwe Leo.. Kwa mlio kariri ni kwamba not everyday is Sunday..! Naona kama kuna hat trick ya Rooney..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…