mkuu unajua inawezekana Arteta amefanya kitu kizuri kwetu mpaka anaonekana kama yuko nasi miaka mingiiii.
jamaa kajiunga nasi 20 December 2019. Mimi hiyo nahesabia kama 2020
Ila ukisoma watu wanavyosema ana misimu mitano, sita, au zaidi kwetu...nadhani wanamchanganya na Klopp au hawataki tu kumpa Ten Hag muda wa kutosha kusuka timu.
Hao wanaongea ili kumfichia aibu ETH ,ukweli huu ni msimu wa 4 wa Mikel Arteta ,ametumia misimu miwili from the scratch kuirejesha Arsenal Kwa bajeti finyu,
Mikel hadi anafika msimu wa 2 tayari alishakuwa anajulikana anacheza mfumo gani na anataka nini ,
7hag msimu wa 2 huu haijulikani manjesta wanatumia style gan ,
Wanasema apewe wachezaji anaowataka ,wanasahau alishapewa anaowataka
Hojlund
Malacia
Martinez
Anthony Santos makudubela
Weghorst
Casemiro
Varane kama sijakosea alimkuta
Bado alikuta timu ina nyota wengi tu wazuri
Mikel Arteta hadi kufika msimu wa 2 round ya 2 tayari timu ilikuwa ina control mechi vzr tu ,hapa chini
ni mechi 13 za round ya 2 ,amefungwa na mancity na Liverpool tu ,Tena hizo mechi zote 2 alienda nao toe to toe
Na ndio ilikuwa sign kuonesha msimu unaofata Atagombea ubingwa ,
Sasa 7HAG msimu wa pili huu hakuna progress, manjesta wanapiga marktime
Binafsi ilinichukua mechi 5 tu kujua manjesta hawana kocha, mm sio muumini wa matokeo tu,
Man u vs Arsenal,man u anashinda 3-1 pale OT ,Ndio mechi nilihitimisha ETH ni kocha wa ovyo na Anthony wamepigwa
Hii mechi man u walishinda 3-1 na Anthony alifunga goli
ila Kwa Kuwa mashabiki maandazi wanatembea na matokeo tu wakaona ETH ni bonge la kocha na Anthony ni new Arjen Rooben
Hiyo mechi manjesta walitoka na matokeo tu lakin walizidiwa kila kitu na Arsenal ambayo Kiungo alikuwa Albert Sambi Lokonga,
Kuna mechi nyingi manjesta wamepata matokeo last season vs mid table teams kama Leicester,Southmpton ,ambao wapo championship,ila kwakuwa mashabiki wanaridhika na matokeo basi hawakujua Nini kinawajia mbelen
Sijawahi kushtuka na downfall hii ya ETH , niliona mwanzoni, na nilipingwa sana humu sababu ya upofu wa matokeo tu
Naamini ETH hata akipewa ile prime Barcelona icheze na Luton ,Bado atapaki basi na kusubiri counter attack
Kama kweli ETH Hana wachezaji wazuri why hata akicheza na timu za mkiani anapaki basi na kusubiri counter attack ? NI SWALI AMBALO jibu lake unapata ETH ni mid coach
Hivi unahitaji world class players u control mechi vs mid table teams?
Binafsi nikiona anacheza counter attack vs top 6 Wala sishangai ,but vs mid table teams hapo ndipo niliweka alama za ???? Kuhusu uwezo wake
INEOS hata wamletee wachezaji wazuri Bado ataendelea na kupaki basi hata Kwa Burney .
Angalia press zake anasema kabisa timu imecheza kama anavyotaka na amekuwa anasifu performance,kwahiyo sio kweli kwamba akiletewa wachezaji wengine atabadilika, ndio maana naamini akipewa hata ile prime Barcelona Bado atapaki basi vs Kina Luton, Burney na Sheffield