Manara: Yanga wameshamalizana na Chama, kumtangaza muda wowote kuanzia sasa

Kama wamemchukua chama si wamchukue tu cc wana wa msimbazi wala chsma co ndio simba pekee tunaemtegemea Simba fc itabaki kuwa simba huyo mwimba taarabu ataimba sana ni msemaji wa yanga ila kutwa kutusemea sisi wa msimbazi
 
Kuna ile laana ya UMBUMBUMBU pale kwa makolo naona inaendelea kufanya kazi kwa nguvu sana
 
Hii ni kwa mujibu wa post ya Haji Manara kupitia Instagram page yake

View attachment 2019454
Huu ndiyo mpango mzima kudadadeq
JamiiForums-1742202904.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
W
Yanga hakuna watu kule ni misukule,lazima wafurahie taarifa kama hizi.

Mpaka sasa wameshinda kesi ya Morrison kule CAS engineer anashughulikia nakala ngumu ya kesi!Hao ndio yanga bhana
WaMeshinda nini..? 😂😂😂😂😂 🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom