Wana Yanga hatumtaki tena Manara. Ali Kamwe na Privaldinho wanatosha

Pemba empire

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
467
1,333
Manara aendelee na tabia zake za kuchambana na watu Ila madogo alikamwe na Privadinho wapo vizuri na wamempoteza sana.

Sisi kama Yanga hatumtaki Huyu Manara arudi Simba na hata TFF wakimfungulia hatumtaki tena Yanga.

Manara anagombana na kila mtu. Kagombana na Shafii, Kitenge, Jemedari Said, Jeff Lea, Prisca Kishamba na kila mtangazaji akitoa maoni tofauti anatukana.

Angalia vijana wetu now huoni wakitukana mtu zaidi ya utani tu kimpira.

Manara endelea kuchambana na Ma EX zako uliowaacha kwenye mpira hatukutaki Au rudi Kwa makolo.

Manara aendelee na tabia zake za kuchambana na watu Ila madogo alikamwe na Privadinho wapo vizuri na wamempoteza sana.
Sisi Km Yanga hatumtaki Huyu Manara arudi Simba na Hata Tff wakimfungulia hatumtaki Tena Yanga.
Manara anagombana na kila mtu.
Kagombana na shafii..kitenge..jemedari saidi..jeff lea ..prisca kashamba wa clouds fm..na kila mtangazaji akitoa maoni tofauti anatukana..
Angalia vijana wetu Now huoni wakitukana mtu.zaidi ya utani tu kimpira.
Manara endelea kuchambana na Ma x zako uliowaacha kwenye mpira hatukutaki Au rudi Kwa makolo.

View: https://youtu.be/AY0DtYuG0c0?si=tbYxOWLrWR4LX92I

Na nyie na mabwana zenu huwa hamwezi tulia mpaka mje waandikia uzi?
 
Tena usishangae CCM wakamchukua kwa mbwembwe huku akiletwa Lumumba na farsi au ngamia. Chama la vituko haijapata kutokea.
By the way, vipi hali ya AWILO aliye vunja uti wa mgongo inaendeleaje?
Awilo yuko poa zile zilikuwa swaga zake tu Ili atrendi mitandaoni 😄
 
Manara aendelee na tabia zake za kuchambana na watu Ila madogo alikamwe na Privadinho wapo vizuri na wamempoteza sana.
Sisi Km Yanga hatumtaki Huyu Manara arudi Simba na Hata Tff wakimfungulia hatumtaki Tena Yanga.
Manara anagombana na kila mtu.
Kagombana na shafii..kitenge..jemedari saidi..jeff lea ..prisca kashamba wa clouds fm..na kila mtangazaji akitoa maoni tofauti anatukana..
Angalia vijana wetu Now huoni wakitukana mtu.zaidi ya utani tu kimpira.
Manara endelea kuchambana na Ma x zako uliowaacha kwenye mpira hatukutaki Au rudi Kwa makolo.

View: https://youtu.be/AY0DtYuG0c0?si=tbYxOWLrWR4LX92I

Huyo aende CCM tu ndiyo sehemu ya wanafiq na chawa wabobezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom