Simba imuombe radhi Manara Ili iendelee kubeba makombe

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Ni miaka kadhaa iliyopita Baada legendary aliyekuwa msemaji na muhamasishaji Bora Africa wa Simba Haji Manara kuondoka pale msimbazi Baada ya kutoelewana na tendaji Barbara

Haya ndio maneno aliyonena Manara

"Kwa hujuma nilizofanyiwa naondoka ...na Simba haitakuja kubeba makombe Hadi miaka 10 ipite"

So why I'm concerned with this?
Jana Simba alikuwa na sababu, nguvu kifedha + kiufundi na kimbinu + na kikosi full mkoko na Nia ya kubeba Hilo cup lakini ilishindikana

Pia ukifuatilia Toka Manara kuondoka pale Msimbazi...Simba Haina muelekeo wowote wa kubeba kombe ....inaanza vizuri then inapotea as the time increase

NB: Kabla mambo hayajawa mabaya ni vyema kuchutama...mind u ngao ya jamii sio kombe ...Ile ni one day tournament
1705175204190.jpg
 
Shida ya Simba inasababishwa na katiba na mwekezaji
1.Pale Simba mo dewji ili billion 20 za uwekezaji aliweka lini??

2.Je matangazo ya bidhaa za Mohamed enterprises kwenye jezi ya Simba je wanalipa kiasi gani??

3.Uwanja wa Simba ulioko huku boko umefikia hatua gani??kwann uitwe mo arena??yaaani mali ya klabu inaitwa kwa jina la mwekezaji??ushawahi ona ujinga Kama huo wapi??

4.Klabu ya Simba Haina uwazi,mambo mengi ni gizani na ujanja ujanja

Simba Ina matatitizo mengi,sulihisho

1.Mwekezaji mo dewji afukuzwe,atafutwe mwekezaji mwingine

2.Katiba ya Simba ibadilishwe na timu iendeshwe kisasa zaidi
 
View attachment 2871745
Sawa Manara tumekusikia, lakini ila kwenye timu ya Simba HATUKRUDISHI TENA!!
 
Shida ya Simba inasababishwa na katiba na mwekezaji
1.Pale Simba mo dewji ili billion 20 za uwekezaji aliweka lini??

2.Je matangazo ya bidhaa za Mohamed enterprises kwenye jezi ya Simba je wanalipa kiasi gani??

3.Uwanja wa Simba ulioko huku boko umefikia hatua gani??kwann uitwe mo arena??yaaani mali ya klabu inaitwa kwa jina la mwekezaji??ushawahi ona ujinga Kama huo wapi??

4.Klabu ya Simba Haina uwazi,mambo mengi ni gizani na ujanja ujanja

Simba Ina matatitizo mengi,sulihisho

1.Mwekezaji mo dewji afukuzwe,atafutwe mwekezaji mwingine

2.Katiba ya Simba ibadilishwe na timu iendeshwe kisasa zaidi
Mkifunga hayo maswali hamna
 
Daah mambo mengi mkuu
 
Manara Amefukuzwa Simba itakatwaa Kombe la Azam Federation pale Kigoma, Bao la Tadeo Lwanga Uto akipigwa.
Simba ameendelea kufika Robo Fainali ya CAF Champions ambayo hiyo Utopolo haijawahi kufika tokea kuumbwa kwake.
Mwaka 2023 Simba katwaa Ngao ya Hisani, mwaka 2024 Simba ni Finalist wa Mapinduzi Cup, bado atafika Robo Fainali ya CAF unataka simba afanye kipi.
HAtua ya kimashindano aliyofikia Simba, itamchukua Yanga Miaka 10 au zaidi kuifikia.
Simba yuko nominated kucheza Mtoano7 wa Kombe la Dunia la Vilabu! Ni lini uto atafika huko???
 
Back
Top Bottom