Manara ana maumivu, asaidiwe kisaikolojia

Huja

JF-Expert Member
Aug 7, 2021
849
1,325
Nami pia nimesikia video clips na maelezo kuwa MANARA anaachana na soka baada ya kudumu kwa muda mrefu.

Ukiangalia interview za karibuni za Manara, tangu alipohama toka SIMBA,matusi mengi yalimfuata katika social Media. Kejeli na matusi..mengine yakiwa personal. Hata kama Manara aliyavumulia lakini kama binadamu lazima ilimuathiri.

MANARA baada ya kuwepo mwaka YANGA, tuliona post zake katika social media kwamba pamoja ya kwamba YANGA walimpokea lakini bado ni kama kuna kitu bado ameacha SIMBA.

Hata hivyo pamoja na kufanya kazi yake ya usemaji YANGA bado aliendelea kupata attack kupitia Post zake toka fanbase ya SIMBA ambao kiasili wala hakuwa na ugomvi na wao kiasili (ni wagomvi ambao hali ililazimika kuwa hivyo).

Manara mara akaanza mgogoro na TFF (pengine ni matokeo ya hali ya kisaikolojia ambayo haikuwa bado amepona) na hatimaye TFF ikamfungia, na matokeo yake si tu kukosa kazi anayoipenda ila pia alikosa jukwaa la kutibu maumivu alitoka nayo kwa mwajiri wa mwanzo.

Manara akiwa bado hajui vizuri ni kwa nini haya yanatokea, ni kama nafasi yake kwa Mwajiri wake mpya haijapwaya.

Sasa at end akili ya kawaida ya MANARA inamjibu mchango wake na nguvu zake hazijathaminiwa si fans wake tu, bali vyombo vya usimamizi na SERIKALI na soccer industries kwa ujumla wake.

Akili inamwambia amekuwa DENIED.

Huenda MANARA kweli alikuwa na rights mbazo aliamini Jamii itasimama naye hadi mwisho (public sympathy) lakini alishindwa kujua maisha yanahitaji kupambana kipekee (stand alone)

Manara ukisiliza interview zake utagundua MANARA ana maumivu hali iliyomuathiri kiasi kikubwa, kwa hali huu Manara anahitaji MATIBABU.

Kama ataacha mawazo ya kutaka kusalia mtu maarufu, bado MANARA ni potential BRAIN na huenda fursa zikamfuata.
 
Kwani si ni yeye ambaye alikuwa anamshinikiza Majizo awatimue wachambuzi kisa tu wanaisema negative Yanga?

Hicho kipindi hakujua thamani ya kupoteza kazi kwa hao watu?

Hakujua hao watu pia kuna watu nyuma yao wanawategemea ili waendeshe maisha yao?

Leo imetokea kwake kakosa kazi tena kwa uzembe wake kwanini tumuonee huruma?

Ni kweli Manara ana watu wengi wasiomuombea mema.

Lakini hao watu kawatengeneza yeye wawe hivyo, yani kajitengenezea adui wa kuja kumlaumu baadaye na kutafuta huruma kuonesha anachukiwa.

Hata Yanga saizi ni kama wamemtupa na wengi wanaamini Yanga ndio ilimtumbukiza Manara kwenye shimo la mamba.
 
YULE NI TAHIRA.

TUMEWAPA WATU WAPUMBAVU NA WAJINGA WATUTAWALE MATOKEO YAKE NDIO HAYO SASA .

MANARA NI ZUMBUKUKU KABISA.
 
FB_IMG_1682646137959 (3).jpg


Huwa niliangalia Hiyo picha namtafakari sana.....

Picha inaongea mengi mno
 
Back
Top Bottom