Watoto wazuri wanaumbwa kwa ajili ya matoleo ya kila vizazi.
Haiwezekani mtoto mzuri azaliwe leo uje kumuoa wewe Manara!
Tafuta wa makamo yako atakutuliza, lakini kuendelea kuwaza na kuparamia vitoto size ya mjukuu wako, vitaendelea kukudhalilisha bila kujali una ukwasi kiasi gani.
Naona hauwezi kujifunza kutokana na makosa.