Miaka 50 na Mwijaku 40 hawajielewi kabisa .Mtu angetulia hata kuona watoto wake wakubwa na wanafuatilia mitandao ila anafanya mambo ya hovyo kila siku ..Manara ana matatizo ni vile watu waungwana anaweza kusingizia ile hali yake ..Yule ni mtu mzima hata Diamond utoto unapungua mpaka miaka 50 atakuwa safi ,Manara mkubwa ila hajielwi yaani ..Hiyo dini kasoma bure , eti wanampa nafasi na uongozi huko misikitini .
Na Mwijaku hao ni waislamu wanafiki .