Manara anazungumza na vyombo vya habari

Manara anazungumza na vyombo vya habari

😂😂😂🤣🤣🤣🤣😅😅😆😆😆😁😁😄😄😄😃😃😃😃😃
 
Yanga Wamejitoa kwenye changizo la Nani zaidi baada ya kuona wamezidiwa na Simba.
 
# Haji makombe

# shareef el Buggatti
# Haji Matrophy

Haji ni mzuri akiwa upande wako, akiwa kwa wapinzani wako ni mbaya kama Mayele.

# Buggati for life
 
# Haji makombe

# shareef el Buggatti
# Haji Matrophy

Haji ni mzuri akiwa upande wako, akiwa kwa wapinzani wako ni mbaya kama Mayele.

# Buggati for life
Haha umeongea kweli.
Usisahau yeye ndiye amezipachika simba na yanga majina mabaya ya utani...utopolo na makolo
 
Back
Top Bottom