Man Utd vs Real Madrid - March 05, 2013: Post match feedback

Fergason atimuliwe kwa kosa lipi?je ni mazuri mangapi ameyafanya pale Man U?mimi naamini kabisa kuwa mzee Fergason bado ni kocha bora duniani.kufungwa na R.madrid ni hali ya mchezo kama ilivyokawaida ya mechi ngingine kuwa kuna kushinda,droo na kufungwa.
 
Natamani sana huyu jamaa achukue hili kombe na Copa Del lay kabla ya kutimkia anapopafahamu. Nilifurahi sana nilipoona Sagio Ramos amejifunga ata goli la Bernabeu alifungisha yeye, simpendi yfye na Casillas ni wabaguzi sana wamesababisha makundi ya utaifa kwenye timu na hawampendi Mourinho kwa chuki zao binafsi. Wameshasahau kuwa kabla ya Mourinho walishapotea kwenye ramani ya soka mwisho wao kwenye UCL Ni 1ö bora tu.

Ndo maana Mourinho hakumpa namba Casillas nowdayz maana siku nyingi sijamuona Casillas golini, nilikuwa sijui hili!
 
hata mourinho mwenyewe amekiri kuwa walikuwa na bahati na wala sio kwamba walistahili kushinda...refaree spoiled everything thats all. LIVE LONG MAN UTD.

aiseee yule bingwa wakusoma nyota za wchezaji aka fergie jana aligonga mwamba nini maana naona kila mtu analialia tu kufungwa kubaya acha tu..
 
mkuu mbona huna fair play?

kumbe mnachezeaga bahati tu mngeshinda na jana pyuuuuu poleni sana majirani zangu tulipofungwa kwao mkasema city na madrid zote mbovu haya nyie wazima mumeingia robo sasa..

poleni ila inauma acha tu..
 
wao wakibebwa na Web huwa wanaona sawa sasa hapohapo kwenu mmeingiziwa lidudu kama Simba ...hiii ndiyo R.Madrid.

nasikia web anachezesha j2 kati ya timu yake MAN U na chelsea
 
Leo hata washabiki wake humu jamvini naona wamekimbia huku wameweka mkia tumboni kama mbwa mwizi. Jitokezeni muendelee na majigambo yenu ya kila siku. Mnaruka karate uwanjani halafu mnajifanya mmeumia ku-buy time. Hiyo ni dalili tosha alijua alichokifanya
 
625630_503517636373823_16337790_n.jpg

Mkuki kwa nguruwe.....

549832_503343883057865_1534137286_n.jpg

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
CC: Belo, mtotowamjini, BelindaJacob, KASHOROBANA, Idimi, et al....

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee.
Leo umetupata, tumekuwa
wadogoooooooo!
 
"Having said that, we suffered until the end; United were physically very strong. We suffered too much while they had ten men and the fact that our goalkeeper Diego López was our best player in that time says it all. When your keeper is your best player with a numerical advantage it shows you are not controlling the game as you should. Our midfield was filled with players during the later stages, yet we didn't control the match." The Special One, Jose Morinho.
 
nenda kalale wewe ule ulikuwa mpira wa miguu au football sio kick boxing

Umejuaje kama hapa nilipo ni usiku?!

Kwanini Manu wakifungwa hawakubali kuwa wamefungwa hivi nyinyi ndio munaojuwa mpira hakuna timu nyengine?

Kufungwa kihalali hakuna atakayelalamika. Lakini kwa uonevu kama ule wa jana, hakika lazima UEFA wampe ban yule refa. Hivi mbona hakumpa kadi Lopez kwa kumpiga ngumi Vidic wakati akiokoa mpira?! Hiyo haukuona eh?! Yule refa wa Uturuki ana rekodi ya kutoa kadi nyekundu za utata kwa wachezaji wa England.

Kadi ya Nani ilibadili kabisa mwelekeo wa game; jamaa wakatumia nafasi hiyo kusawazisha na kufunga la pili.

Hata msaidizi wa refa alivyoulizwa na Mike Phelan kuhusu kadi ile, alisema anashangaa juu ya kilichotokea! 99% of football pundits (except Roy Keane) disagreed with the decision. Even some of the retired referees were shocked about the decision.
Pengine wewe ni mchawi, ndiyo maana unaona ile kadi ni sawa. Angalia replays ukiwa umetoa kondokondo la unazi, na uvae nguo ya upenzi wa soka, naamini utaona yale maamuzi yalikuwa siyo sahihi.

Lakini ndiyo hivyo, chama linasonga mbele, tunajipanga kwa ajili ya double Sijui wewe mwenzangu mnajipanga kwa lipi?!
Oh, nimekumbuka, nyiye mnajipanga kwa quadruple!! Khe khe khe khe! Quadruple my foot!! You just a wee club competing for the 4th spot. You can't be in Man United's level; you are just too wee!! Khe khe khe khe!

Babu kaona giza leo hawezi hata kuzungumza na media, mutamuua yule babu kwa pressure

SAF aliwastahi waandishi wa habari; alipenda kutunza heshima yake katika ulimwengu wa soka. Alijua akifika kwenye post-match press conference atatoa maneno ambayo yatamvunjia heshima. Hivyo akamwagiza Phelan akazungumze na waandishi.
 
ile ni footbal sio karate wewe! Povu lanini? Haya refa wenu anachezesha j2 na chelsea machungu yatapungua! Hamuiwez madrid nyie wameshndwa barca mtakuwa nyie wacheza karate?
 
Nzi
sijui uliangalia mpira au ulisikiliza kwenye radio?
nilisema mwanzo katika post zangu Nani angeliweza kupata yellow card lakini kujifanya mjanja ndiko kulikomponza eti ameumia ndipo ref alitulia kwanza hakutoa uamuzi wa haraka na ndio unavotakiwa alimuangalia na aliangalia treatment yake ndipo alitowa card na ref sifikiri kama atafungiwa utakuja niambia hapa, neno fairplay lina play big part sio kutoa mpira nje wakati mchezaji ameumia au shake hands baada ya gemu, ukifanya foul mbaya na unajuwa kuwa foul halafu wewe ndio una act ndio mbaya
mimi ninampa hongera Ref hata kama Man wangelishinda basi Nani alistahili red card ya ku act
 
Pheeewww!
 
Kwa sheria ipi ya FIFA ndiyo iliyomwongoza refa kutoka kadi nyekundu katika huo mtazamo wako? Kwamba kadi ni yellow card offense, lakini kukiwa na kujifanya umeumia, basi kadi hiyo ugeuka kuwa nyekundu?!
 
Nilikuwa uwanjani.

Ref ndie jaji wa hapo uwanjani kwanza ujue hilo,
ref anatizama mazingira ya tukio yalikuwaje
unajuwa ref anaweza kukupa card bila ya kufanya foul? ule muelekeo wako wa kwenda ku charge anaeza kutoa foul na card, sijui kama unafahamu hilo
tukirudi hapa nyumbani kama unafuatilia mpira, ukiwa unakwenda kucharge na kusema wacha basi hiyo ni foul?
ile ya jana ni foul mbaya without question Nani mwenyewe alijuwa ni foul ya kukusudia
 
Bado ndoto ya makombe matatu ipo palepale? Luis Nani Man of the Match jana.
 
Back
Top Bottom