Man Utd vs Real Madrid - March 05, 2013: Post match feedback

Man Utd vs Real Madrid - March 05, 2013: Post match feedback

Ref ndie jaji wa hapo uwanjani kwanza ujue hilo,
ref anatizama mazingira ya tukio yalikuwaje
unajuwa ref anaweza kukupa card bila ya kufanya foul? ule muelekeo wako wa kwenda ku charge anaeza kutoa foul na card, sijui kama unafahamu

Acha kuongea kama mlevi wa gongo. Kwa hiyo nini maana ya kuwepo kwa sheria za FIFA?

Nimekuuliza ni sheria ipi ya FIFA inasema hivyo, unaleta porojo.
Refa yupo pale kufuata sheria 17 za soka za FIFA. Pale hakuna nafasi ya refa kutumia hisia katika kuamua.

Unayoyasema ni sawa na kusema eti hakimu akupe adhabu ya kifungo bila kutenda kosa!! Kwa sheria ipi?!?

ile ya jana ni foul mbaya without question Nani mwenyewe alijuwa ni foul ya kukusudia

Eh! Umekuwa psychic?
 
Kwa sheria ipi ya FIFA ndiyo iliyomwongoza refa kutoka kadi nyekundu katika huo mtazamo wako? Kwamba kadi ni yellow card offense, lakini kukiwa na kujifanya umeumia, basi kadi hiyo ugeuka kuwa nyekundu?!

Mtalia weeeee...lakini ukweli Nani desrved the red card! yeye mwenyewe analitambua hilo even if 100% of soccer pundits disagree on it!
 
nani red card jjjj.jpg nani red card.gif nani red card jjjj.jpg

nani red card.gif
 
Mtalia weeeee...lakini ukweli Nani desrved the red card! yeye mwenyewe analitambua hilo even if 100% of soccer pundits disagree on it!

Soma sheria namba 12 ya FIFA.
Violent conduct ndio pengine aina ya offence ambayo refa alidhani nani kafanya ndo maana akapewa kadi nyekundu.
Sasa, jiulize ile ilikuwa ni violent conduct? Ile utaweza iweka kundi moja na ya De Jong kwenye kombe la dunia 2010, iliyoishia kupata kadi ya njano?

Nani hata hakumwona Arbeloa; hiyo ni ushuhuda wa Arbelao mwenyewe aliyesema anaamini Nani hakumwona. Pia ukiiangalia tena ile sehemu, inaonekana kabisa kwamba Nani alipoona kuna mtu mbele alijitahidi kuutoa mguu, lakini akawa ameshachelewa.

Pundits hawazungumzi tu kwa porojo, wanazungumza kwa kuzingatia sheria za soka na uzoefu wao wa masuala ya soka. Kuwapuuzia, nakushangaa kwa kufanya hivyo! Kumbuka hao ndio wengi unawasikia kama commentators kwenye games.
 
Chifu, kwa hizo picha, sielewi mtu anasemaje kwamba ile ilikuwa ni malicious violent conduct?

Inaitwa scotoma, u see what u like to see, halafu kwa hiyo angle pekee huwezi kuona immaturity ya Luis Nani, imekaa kinazi zaidi.
instead of kumlaumu mwamuzi mtu wa kwanza Man Utd kumlaumu alikua Nani, kwa nini afanye tackling ya kupuuzi kama hiyo kwenye match kubwa, kwa nini anamlazimisha refa kufanya maamuzi magumu na mind u that refa alishauriana na msaidizi wake before showing a red card.

Team ilikua inaongoza kwa goal moja, je kulikua na ulazima wowote wa kufanya huo upuuzi au he was so desperate to impress his manager for selecting him instead of Rooney?
 
Soma sheria namba 12 ya FIFA.
Violent conduct ndio pengine aina ya offence ambayo refa alidhani nani kafanya ndo maana akapewa kadi nyekundu.
Sasa, jiulize ile ilikuwa ni violent conduct? Ile utaweza iweka kundi moja na ya De Jong kwenye kombe la dunia 2010, iliyoishia kupata kadi ya njano?

Nani hata hakumwona Arbeloa; hiyo ni ushuhuda wa Arbelao mwenyewe aliyesema anaamini Nani hakumwona. Pia ukiiangalia tena ile sehemu, inaonekana kabisa kwamba Nani alipoona kuna mtu mbele alijitahidi kuutoa mguu, lakini akawa ameshachelewa.

Pundits hawazungumzi tu kwa porojo, wanazungumza kwa kuzingatia sheria za soka na uzoefu wao wa masuala ya soka. Kuwapuuzia, nakushangaa kwa kufanya hivyo! Kumbuka hao ndio wengi unawasikia kama commentators kwenye games.

- Let's face it kama kweli haikuwa foul, what has been done to the ref so far!??

- pili, angalia video replays..baada ya kushtuka kuwa arbeloa huyu hapa! badala ya kuutoa mguu amem-push ndo maana arbeloa akasukumwa kwa kuzunguruka.

- pundits nao ni binadamu na wanaongozwa kwa hisia..the ref consulted other sources before the card...

- sijui sheria za FIFA ila pia the after effect mimi ilinikera. Nani alipojifanya ameumia tena nlifikiri kazimia pale..that is unsportsmanship! Nadhani refa alipofika pale na kumuona ilichangia kum-aggrevate na kupelekea kutoa uamuzi ule!
 
Kama "wewe" ni mchezaji mwenye akili timamu, hupaswi kufanya jambo ambalo litamshawishi refa kutoa kadi! Mguu juu katika mpira ambao mtu anapaswa kucheza kwa kichwa..ni hatari kubwa..Ukweli ni kwamba NANI alipotoka Man U, walikuwa mbele kwa goli 1, ambalo Ramos alijifunga.

Man Utd, si timu ya kwanza mchezaji wake kupata kadi nyekundu..mbona timu kibao mchezaji anapewa kadi na bado zinacheza gemu na kushinda? Tatizo Babu alikosea mbinu zake..huwezi kumweka Rooney benchi, na kusubiri hadi dakika ya 70, wapi Shinji Kagawa? Badala ya NANI ile gemu angempanga VALENCIA, ambaye huwa mtulivu sana kwenye gemu kukbwa...NANI ni mchezaji mapepe..hata kapteni wa zamani wa Man U, Roy Keane amesema huyo NANI alistahili kupata kadi nyekundu.
TUKUMBUSHANE: Man Utd, walishinda Man City msimu uliopita kwenye FA, siku hiyo V. Kompany alipewa kadi nyekundu ingawa hakumgusa kabisa NANI..ni kwamba KOMPANY alienda na miguu miwili,,jambo ambalo linaweza kumfanya refa alete balaa, refa pia ni binadamu..usimpe nafasi ya kukupa kadi..kwa kuleta mambo ya ajabu. Unakumbuka gemu ya Chelsea vs Man Utd, ambayo Man U, walishinda 3-2? Ivanovic alipewa kadi nyekundu ingawa hakumwangusha Young, ila kosa lake lilikuwa alikuwa anafuata kwa karibu..na mchezaji akagundua kwamba ameguswa akaanguka. kuna mifano mingi wadau ongezeeni!

Ukweli ni kwamba Man Utd, walizidiwa..MOURINHO anajaribu kuwadharau tu! Mmemsahau Mourinho?
 
- Let's face it kama kweli haikuwa foul, what has been done to the ref so far!??

- pili, angalia video replays..baada ya kushtuka kuwa arbeloa huyu hapa! badala ya kuutoa mguu amem-push ndo maana arbeloa akasukumwa kwa kuzunguruka.

- pundits nao ni binadamu na wanaongozwa kwa hisia..the ref consulted other sources before the card...

- sijui sheria za FIFA ila pia the after effect mimi ilinikera. Nani alipojifanya ameumia tena nlifikiri kazimia pale..that is unsportsmanship! Nadhani refa alipofika pale na kumuona ilichangia kum-aggrevate na kupelekea kutoa uamuzi ule!

Ukiangalia ile incident NANI hata hakumuona Arbeloa,akili na macho yake yote yalikuwa yanaangalia mpira
Na hakuna mtu ambaye alikuwa anajua NANI atapewa red card kabla hajapewa labda refa labda refa mwenyewe

All in all tulikuwa kwenye position nzuri kabla ya kadi,hata baada ya kadi still tulicheza vizuri na kushambulia ingawa
kipa wao alikuwa imara.

Ya Champs League yameisha nguvu zetu zinahamia kwenye EPL
 
Ya Champs League yameisha nguvu zetu zinahamia kwenye EPL

Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... Belo ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Last edited by a moderator:
Gongo bado ninakunywa sikufichi lakini sasa hivi sina stimu
Tusubiri UEFA ndio watakuja na uhakika wewe utakuwa unazijua sheria za FIFA zaidi lakini Manu wameshitakiwa
Kwenye thread kuna mifano kibao umepewa tokea EPL mpaka world cup kazi kwako kula au kuacha
Acha kuongea kama mlevi wa gongo. Kwa hiyo nini maana ya kuwepo kwa sheria za FIFA?

Nimekuuliza ni sheria ipi ya FIFA inasema hivyo, unaleta porojo.
Refa yupo pale kufuata sheria 17 za soka za FIFA. Pale hakuna nafasi ya refa kutumia hisia katika kuamua.

Unayoyasema ni sawa na kusema eti hakimu akupe adhabu ya kifungo bila kutenda kosa!! Kwa sheria ipi?!?

Eh! Umekuwa psychic?
 
UEFA defend the ref. CUNEYT CAKIR

UEFA defended referee Cuneyt Cakir in the face of heavy criticism after Cakir sent off Nani during Manchester United's Champions League loss to Real Madrid.

With United leading 1-0 on Tuesday, Cakir red-carded Nani in the 56th minute after the United player stretched his leg to try to control the ball but caught Alvaro Arbeloa in the chest with the studs of his right boot.

Madrid then scored two quick goals and won 2-1, advancing to the quarterfinals 3-2 on aggregate.

European football's governing body said it had "no problem" with Cakir and stressed that he would remain on its list of Champions League officials.

A spokesman said: "There are no issues for us regarding the sending off, and we will wait for the official reports of the match delegate and the referee's observer, as is procedure.

"If they raise concerns, then we will act, but he remains on our list of officials."

Despite the controversial call, the Turkish referee may just have passed a UEFA audition to be selected for the final in May.

Cakir was watched at Old Trafford by UEFA head of referees Pierluigi Collina, who has overseen the 36-year-old official's rapid rise, including nomination to FIFA's shortlist for the 2014 World Cup.

UEFA declined comment Wednesday, which is the European body's usual response to questions about their referees.

After promoting Cakir to its top-tier status in 2011, UEFA has consistently given him big assignments and proposed him for FIFA competitions. He has shown no fear of sending off players whose reputations did not shield them from the letter of football law.

Before Nani, Cakir showed red cards this season to England captain Steven Gerrard in a World Cup qualifier, Barcelona midfielder Sergio Busquets in a Champions League match and Chelsea defender Gary Cahill in the Club World Cup final.

When UEFA backed its referee's judgment by banning Busquets for two Champions League matches after his robust challenge on Benfica defender Maxi Pereira, the Catalan club's appeal was dismissed.

Cakir appears to have judged that Busquets, Cahill and now Nani used "excessive force," which the laws of football say must lead to a red card. The guidelines to "Law 12 - Fouls and Misconduct" defines excessive as when "the player has far exceeded the necessary use of force and is in danger of injuring his opponent."

Had Cakir, from his angle, seen Nani act in a "reckless manner" -- "with complete disregard to the danger to, or consequences for, his opponent" -- then a yellow card would be enough punishment.

"Not in a million years would we see a Red Card for that in The Premier League but on the continent it's a definite Red," Michael Owen, the former Man United and Madrid forward, wrote on Twitter. "Can't really blame the Ref for it as he is obliged to play to the rules but it's a hard one to take bearing in mind there was no intent."

One English county police force said Wednesday that an 18-year-old Man United fan was "so disgusted with the referee's decision" that he called the emergency number to report it as a crime.

English media joined a chorus of criticism Wednesday, branding Cakir "card-happy" for his track record in big matches and directing readers to his official Twitter page. Cakir follows 38 accounts, including the official feeds of Madrid and Cristiano Ronaldo. He also follows Barcelona and Lionel Messi.

Still, Cakir's biggest decisions -- including sending off Chelsea captain John Terry in last season's Champions League semifinals in Barcelona -- has boosted his standing with the game's governing bodies.

UEFA gave Cakir three matches at the 2012 European Championship and rewarded him for his handling of a testy Spain semifinal match against Portugal, showing nine yellow cards. He was the fourth official for the final.

Collina was involved in those decisions and his true opinion of Cakir's performance in Manchester will probably only become apparent when UEFA allocates assignments in the later stages of the Champions League.

For the past two seasons, UEFA gave the honor of refereeing the Champions League final to an official who impressed in the last 16 and then was allowed to skip matches in the quarterfinals and semifinals -- Viktor Kassai of Hungary in 2011, Pedro Proenca of Portugal last year.

UEFA will likely choose its referee about one week ahead of the final on May 25 at Wembley Stadium in London, then announce its selection two or three days before the game.

Information from The Associated Press was used in this report.
 
- Let's face it kama kweli haikuwa foul, what has been done to the ref so far!??!

Nothing. You know why? Because Man United hasn't tabled the official complaint to UEFA.
And if you have read UEFA's statement, they have said that they will act if official complaint is tabled by United.
 
You should blame your Nani and your manager for leaving your best players Rooney and Valencia on the bench,

Chelsea managed a draw against Barcelona last season when they were a man down and went on to lift the trophy plus they were playing away from home, then why don't you if you are that good?
 
Kwenye mechi za Man U itabidi sheria ya Red Card ifutwe naona haiwapendezi sana,Babu anatukana tukana tu uwanjan.......iHalaMadrid

Sent from BlackBerry 8520
 
Nothing. You know why? Because Man United hasn't tabled the official complaint to UEFA.
And if you have read UEFA's statement, they have said that they will act if official complaint is tabled by United.

You should blame your Nani and your manager for leaving your best players Rooney and Valencia on the bench,

Chelsea managed a draw against Barcelona last season when they were a man down and went on to lift the trophy plus they were playing away from home, then why don't you if you are that good?
Nzi you need to hear this...!

Saying nothing means they don't think any wrong of the red card man..wewe mwenyewe ume-quote law 12 ya FIFa...nenda kaisome tena bro!

khe khe khe khe khe khe khe khe khe eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Nzi mkojo umekushinda mavi utayaweza?????!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
You should blame your Nani and your manager for leaving your best players Rooney and Valencia on the bench,

Chief, it is evident that you are not a Man United fan. Valencia has been struggling to reach his last season form!
On the other hand, the decision was tactical; and it looked good until the red card incidence.
In addition, I don't think you have the audacity to question SAF's decision. Who are you in the world soccer?

Chelsea managed a draw against Barcelona last season when they were a man down and went on to lift the trophy plus they were playing away from home, then why don't you if you are that good?

Chief, that game's style of play was quite different from Tuesday's game! Even after scoring 2-0 and one man advantage, Barcelona kept on playing open and attacking game. That style gave chances for counter attacking football that benefitted Chelsea.

In the Tuesday's Real wasn't playing an attacking and open play; they were counter attacking. That was evident even with subs made by Mourinho right after scoring the 2nd goal. That style hindered Man United's attacking football style - this is evident in the very small difference in terms of the shorts made for both teams.

Man United has moved on. Now we are waiting for Chelsea; and winning our 20th Championship title.
 
Chief, it is evident that you are not a Man United fan. Valencia has been struggling to reach his last season form!
On the other hand, the decision was tactical; and it looked good until the red card incidence.
In addition, I don't think you have the audacity to question SAF's decision. Who are you in the world soccer?

Chief, that game's style of play was quite different from Tuesday's game! Even after scoring 2-0 and one man advantage, Barcelona kept on playing open and attacking game. That style gave chances for counter attacking football that benefitted Chelsea.

In the Tuesday's Real wasn't playing an attacking and open play; they were counter attacking. That was evident even with subs made by Mourinho right after scoring the 2nd goal. That style hindered Man United's attacking football style - this is evident in the very small difference in terms of the shorts made for both teams.

Man United has moved on. Now we are waiting for Chelsea; and winning our 20th Championship title.

ukwel n kwamba fegie hakuwa Na plan b, jose anasema yeye ameshazoea kuchuza na watu10. kumanisha ya kwamba he wil alwayz plan for it, na alipopata nan barua ya talaka maurinyo akafanya mabadiliko haraka, fegie analia, unalia wakt upo uwanja wa vita front line? yan kwake haiwezekan kupata red card, he should factor in in such big games. otherwise kosa lake lingine n kumwacha rooney nje. unajua iyo saikologikal inaumiza wachezaji wengine Wa level ya rooney alaf kumweka gigs ili avunje rekod nayo n kosa la kimchezo
 
Back
Top Bottom